Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Wafunge tu,
Tumbaku yetu tutavuta wenyewe,
Jeshi tunalo
WASITUBABAISHE BUANA[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikibidi tunawapa wanajeshi tumbaku yote wavute
Wafunge tu,
Tumbaku yetu tutavuta wenyewe,
Jeshi tunalo
WASITUBABAISHE BUANA[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo umemsahihisha au umembishia?Mkuu nikusahihushe hichokiwanda hakina idadi hiyo ya wafanyakazi. .....
Sent using Jamii Forums mobile app
kjana laitiugefuatilia mjadala mzima ungejua wapi nimesahihisa karibu kama hujafika mwisho
Ebwana eeh, pale Coco Beach zilizpokuwa ofisi zao walinitimua watu wote. Kuna wale jamaa wa retail walikua na pikipiki wanazurura mtaani kuuza sigara wote wamewapiga chini. Mzungu kashindwa. Sijui kama production bado inafanywa huko Moro.We baba hiki zi kiwanda kilifunguliwa kwa mbwembwe lst year mkuu kwa hyo hakuna Embassy tena production bongo? aka Kingululwila
Hiyo ni kweli...kuna jamaa yangu yuko hapoHabari wakuu,
Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2400/=
Issue ya kufungwa ni gharama ya uendeshaji na masoko. Zimbabwe ni mzalishaji mkuu wa tumbaku baada ya wazungu kuruhusiwa kuchukua mashamba yao makubwa hivyo tumbaku ya Tabora kukosa soko.
Wafanyakazi wote wanaotaka kuendelea na kazi mkataba ni mwaka mmoja moja na mishahara itapunguzwa hadi 50%.
Kama kuna mtu ana taarifa za uhakika njoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pili idadi ya watu huwezi kuiwekea /= kama vile unaandika hela.Mkuu nikusahihushe hichokiwanda hakina idadi hiyo ya wafanyakazi. .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumbaku watavuta watavuta askari wetuWafunge tu,
Tumbaku yetu tutavuta wenyewe,
Jeshi tunalo
WASITUBABAISHE BUANA[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi wanazidi shilingi 2400/=!Habari wakuu,
Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2400/=
Issue ya kufungwa ni gharama ya uendeshaji na masoko. Zimbabwe ni mzalishaji mkuu wa tumbaku baada ya wazungu kuruhusiwa kuchukua mashamba yao makubwa hivyo tumbaku ya Tabora kukosa soko.
Wafanyakazi wote wanaotaka kuendelea na kazi mkataba ni mwaka mmoja moja na mishahara itapunguzwa hadi 50%.
Kama kuna mtu ana taarifa za uhakika njoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahWafanyakazi wanazidi shilingi 2400/=!
Kama haujui maana ya .../= ni shilingi.
Duu pole yao kwa kweli wawachie TCC tu hao ndiyo wanajua fitina ya Sigara huyu Mzungu Philip Morries anakuwaga na Idea kuna kipindi alifunguwaga kiwanda Iringa TCC wakafungua kesi wakashindwa ikabidi wakae meza moja na Phill Morris wakamnunua akapotea kabisa sasa naona akaja tena kuwatikisa huko Morogoro na hizo sigara zake sasa sijui TCC wamemnunua tena.Ebwana eeh, pale Coco Beach zilizpokuwa ofisi zao walinitimua watu wote. Kuna wale jamaa wa retail walikua na pikipiki wanazurura mtaani kuuza sigara wote wamewapiga chini. Mzungu kashindwa. Sijui kama production bado inafanywa huko Moro.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa jamaa wanaondoka na sababu inasemekana wanadaiwa deni kubwa la kodi na serikali
na mambo mengine.