😁😂😀😅😄😄😃😀😁😂😂Kuna mjinga mmoja alikuwa anajiita Eng Fungo. Mkinga yule alikuwa amefika hapo...usiniambie kiwanda kimefungwa
Kiwanda kimefungwa kweli? Nimtafute jamaa yangu labda sasa tutasikilizana😁😂😀😅😄😄😃😀😁😂😂
Hapo Kingolwira Philip Morris KimefungwaKiwanda kimefungwa kweli? Nimtafute jamaa yangu labda sasa tutasikilizana
TTPL je? Wale wachambua tumbaku kila msimu wanakula wapi?Hapo Kingolwira Philip Morris Kimefungwa
Nimepita Kimya!! JTI
Nimewaona Wapo Bado Ila Ni Alliance OneTTPL je? Wale wachambua tumbaku kila msimu wanakula wapi?
Nimewaona Wapo Bado Ila Ni Alliance One
Hao Toka Zimbabwe Waliondolewa Na JiweUnanikumbusha mjinga mjinga mwingine hapo. Mzimbwabwe fulani aliyejisahau