Kiwanda cha mmea

Kiwanda cha mmea

Kalijifunze madhara ya sigara na ya bangi halafu uje kutueleza hapa.
Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaisha
 
Wafanyiwe utaratibu wakulipa kodi...jamaa cndo anachopenda? KODI
 
Pichani wewe ndio ulikuwa umefika kununua kaya,dawa,kitu,mzigo,jahbless,alafu ukawaDunga foto la kupata uzi huko okay mdau safi tukaribishe kijiweni kwako tuje kuchakata makinikia ya dawa pendwa ya mti wa jamaica
 
Jamaa wamechoka kweli, hao hakuna uzalishaji zaidi ya wizi tu
Kuna wengine baada ya hapo ni kazi, ukitaka kuona vizuri hili nenda vijijini ukaone maajabu ya hawa watu kwenye kazi, zamani mababu zetu walikua na nguvu kulima robo hekari mtu mmoja lilikua jambo la kawaida lakini siku hizi wanaweza wavuta bangi tu, jiulize kwanini hizi nguvu za asili zimeweza kuwa restored kwa bangi tu na sio pombe/sigara/unga
 
nikiwaga na kazi kubwa napigaga kwanza mmea na haijawahi kuniangusha,najikutaga nimemaliza tena nimefanya kwa ubora ambao hadi mi mwenyewe najishangaaga..inakuaga kama miujiza
 
Ndivyo ukweli ulivyo, mmea na kazi ni vitu vinavyoenda sambamba sana
 
Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaisha
Ingekua kila anaevuta bangi anakua kichaa unafikiri mitaani pangekalika? Au unafikiri wavuta bangi ndio wachache kiasi hicho? Alafu utaka kupindisha ukweli kwamba nicotine iliyopo kwenye sigara haisababishi kansa ya mapafu?
 
  • Thanks
Reactions: ywf
ati kuna mtu anauliza et wanalipa kodi..?
sasa hao ukienda kuwalipisha kodi sinisawa na wewe ndo umewapelekea kodi😱 nauhakika utarudi uchi😀
 
Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaisha
Si kweli unachoongea. Kama kuna research yoyote imewahi kufanyika ingekuwa vizuri ukatuletea. Watu wanafuta bangi zaidi ya miaka 20 na wako poa na wala hutajua kama wanavuta.
Ulevi wowote iwe pombe au bangi unaleta madhara kwa baadhi ya watu. Bangi au pombe ikikukataa achana nayo.
 
Sasa hapo usiombe ukasikia ''wazee wanakuja'' mbio zake ni balaa
ila kula hii kitu maskani sio poa maana stimu zinakua zinademadema kwa hofu ya poo----si
 
Hawa wasiotumia mmea huwa wanafikiria kinyumenyume! Kila watu ktk level yao kuna group kubwa LA watumiaji, kuanzia kitaa, shule ya msingi, sec, vyuoni, makazini wabunge baraza LA mawaziri na hata akina Obama, Anko magu labda awe ameacha miaka hii miwili, lakini kipindi kile yupo site alikuwa anapiga mmea, na hakuna sehemu ambayo ukihitaji mmea ukakosa, ma bimkubwa wengi wanatumia na huwezi jua, utaona tu wako romantic! kama ni mtumiaji utakubaliana na Mimi, mfno mdogo tu, ukiwa lock up ukihitaji bange unapata na unavuta! Usifikirie kbsa eti ukiwa pale magogoni bange haipatikani!
Siku moja nilipata tatzo kwenye gari nikaenda mtaa Wa Kongo mida ya sit a mchana, baada ya kumaliza tatzo nilipata bange pale na nilivuta, kiufupi hii bidhaa IPO everywhere na watumiaji wapo kila mahali. Hapa MTU anapinga, lakini uskute MTU wake Wa karibu KBS anatumia na yeye hajui"
Wasiotumia wanafiria kinyumenyume!
 
Back
Top Bottom