Kiwanda cha mmea

Kiwanda cha mmea

kinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M

Mungu tupe uvumilivu..
Hujui tu rahaaa gani Dada yako anaipata tulia Ww... bangi sio kama mnavoichukulia
 
Kuna wengine baada ya hapo ni kazi, ukitaka kuona vizuri hili nenda vijijini ukaone maajabu ya hawa watu kwenye kazi, zamani mababu zetu walikua na nguvu kulima robo hekari mtu mmoja lilikua jambo la kawaida lakini siku hizi wanaweza wavuta bangi tu, jiulize kwanini hizi nguvu za asili zimeweza kuwa restored kwa bangi tu na sio pombe/sigara/unga
Mwana umenikosha saana kwa hoja zako kuntu. Ukweli hii kitu ukiitumia freshi haina madhara kabisa sijui why watu wanaipinga daah
 
Sasa hapo usiombe ukasikia ''wazee wanakuja'' mbio zake ni balaa
ila kula hii kitu maskani sio poa maana stimu zinakua zinademadema kwa hofu ya poo----si
Hii kweli ganja ya kulia maskani sio poa mzee... ukinyeta full wenge
 
e4dc60acd083c5dbebddec7993ed8761.jpg



People talk too much shit about the thing they don't know, stop your nonsense


Hit blunt twice it will change your perception, when you smoke it you can't hear shit, matter of fact I'm high right now

I am more than pothead, am stoner stereotype



Mind of a stonner
 
Hivi ni kwanini huu mmea ni haramu na sigara ni halali?...
 
naona kimemea vilivyo,pita tu nakasmart kako utajua tu ni product gani inazalishwa hapo...😱
Hapana mkuu wala ganja wengi ni wastaarabu mno najua huwez kuamini ila ukweli ndo huo
 
Wako kwa sadari kassim.. Mtaani kwetu sadari mwanamke, Sadari Mwajuma..
 
Kama kweli wana kaba na kuchukua smartphone wewe uliye piga pictures ulitumia drones?
 
Mi nadhani ni dhana potofu kudhani vijana wadogo tu ndio watumiaji wa bangi. Bangi ni kilevi Kama ilivyo beer, au sigara hutumiwa na jinsia zote na watu wa umri tofauti. Hivyo picha ya vijana siipingi kitakwimu inaweza kuwa kweli.
Lakini bangi sijui kama kweli ina madhara kiivyo, kwanini nasema hivyo. Marekani majimbo mengi yame legalize bangi kwa medical na recreational purposes. Na hizo states zina dispensaries au maduka ya bangi mengi sana na idadi ya watumiaji kuongezeka kila mwaka. Lakini ukisoma taarifa za tafiti zao tangu wa legalize bangi wanasema crime kuhusiana na bangi imepungua na inaendelea kupungua sana. Kwa upande mwingine wavutaji ni watu wa kawaida nikimaanisha wafanyakazi maofisini na wafanyabiashara wazee kwa vijana. Na hawaoni athari mpaka sasa na jambo zuri kwao wauzaji wakubwa wameanza kutangaza na kuuza share kule kwenye ma stock exchange yao au kwa maana nyingine wamefika kwenda public. Kama, kule hawana madhara kiivyo, kwanini huku kwetu, watumiaji ni mostly vijana na madhara ni Makubwa kuliko huko kwa wenzetu?! Au bangi yao tofauti na ya huku au watumiaji wa huku hutumia tofauti na wa huko kwa wenzetu?! Crime na criminal havina uhusiano na bangi kule marekani huku kwetu ni kinyume kwanini?! Mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini kwa ufuatiliaji wangu nami nimechangia ninavyoelewa, je kuna mwenye majibu mazuri tusaidiane?! Najua mleta uzi ni mjuzi humu jamii forum pia atusaidie.
 
Back
Top Bottom