Kiwanda cha mmea

Kiwanda cha mmea

Mi nadhani ni dhana potofu kudhani vijana wadogo tu ndio watumiaji wa bangi. Bangi ni kilevi Kama ilivyo beer, au sigara hutumiwa na jinsia zote na watu wa umri tofauti. Hivyo picha ya vijana siipingi kitakwimu inaweza kuwa kweli.
Lakini bangi sijui kama kweli ina madhara kiivyo, kwanini nasema hivyo. Marekani majimbo mengi yame legalize bangi kwa medical na recreational purposes. Na hizo states zina dispensaries au maduka ya bangi mengi sana na idadi ya watumiaji kuongezeka kila mwaka. Lakini ukisoma taarifa za tafiti zao tangu wa legalize bangi wanasema crime kuhusiana na bangi imepungua na inaendelea kupungua sana. Kwa upande mwingine wavutaji ni watu wa kawaida nikimaanisha wafanyakazi maofisini na wafanyabiashara wazee kwa vijana. Na hawaoni athari mpaka sasa na jambo zuri kwao wauzaji wakubwa wameanza kutangaza na kuuza share kule kwenye ma stock exchange yao au kwa maana nyingine wamefika kwenda public. Kama, kule hawana madhara kiivyo, kwanini huku kwetu, watumiaji ni mostly vijana na madhara ni Makubwa kuliko huko kwa wenzetu?! Au bangi yao tofauti na ya huku au watumiaji wa huku hutumia tofauti na wa huko kwa wenzetu?! Crime na criminal havina uhusiano na bangi kule marekani huku kwetu ni kinyume kwanini?! Mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini kwa ufuatiliaji wangu nami nimechangia ninavyoelewa, je kuna mwenye majibu mazuri tusaidiane?! Najua mleta uzi ni mjuzi humu jamii forum pia atusaidie.
Asilimia kubwa huku wanaozurika, ni wale wanao changanya bangi na unga.
 
Tatizo la huo mmea unachukua nafasi ya lishe....jamaa wamechokaa
 
Back
Top Bottom