Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,706
- 22,588
- Yale yale: Umejichanga umemnunualia mkeo Range Rover,Kaka mambo ya naenda tofauti hawaeleweki hao, kibunda unatoa wahunii wanakula bure
Anapewa uroda yule anayemsaidia kubadili tairi,
ukimuuliza umempendea nini huyo kijana, Atakwambia jasho lake linanukia vizuri.