Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,075
- 33,784
Ndo maana nimekupa link yenyewe😃😃Ikiwa sio?
Ndo maana nimekupa link yenyewe😃😃Ikiwa sio?
Naona link ni ya play store
Aaah andika efootball tuu lipo moja lina 2 Gbs linatolewa na KonamiNaona link ni ya play store
Natumia app store 🙉
sawa ngoja nikipata wa kufungulia kibanda ahonge ntaleta mrejesho my dearHuu mfano umetosha kwa huu mwaka mkuu, hebu tafuteni mwingine hata unamnunulia kibanda anawapa wauza nyanya or whatever! Hii ya gari imetosha sasa.. asante!
Sawa usisahau sasa!sawa ngoja nikipata wa kufungulia kibanda ahonge ntaleta mrejesho my dear
huwa nawaza siku nikienda kujifungua nitalimanua kwa manesi na madaktari walione naishiwa nguvu kwa kwelii😄😄😄

na unakuta Dr. ndio mie hapaaaaiiii nikikukuta wewe hata sitohangaika kukuonea aibu, ila nitahakikisha wew ndo unaanza kuona aibu kunitizama😂na unakuta Dr. ndio mie hapaaa
😁😁😁 utajiachiaa tuuu, ila uzuri siku hizi kuna upasuaji wa kisasa ndio wanawake siki hizo wana prefer hiyo njia japo lazima usaule viwalo.. tuone tamu tamuuuaiiii nikikukuta wewe hata sitohangaika kukuonea aibu, ila nitahakikisha wew ndo unaanza kuona aibu kunitizama😂
eti tam tam😂😂 zee jinga sana,,,😁😁😁 utajiachiaa tuuu, ila uzuri siku hizi kuna upasuaji wa kisasa ndio wanawake siki hizo wana prefer hiyo njia japo lazima usaule viwalo.. tuone tamu tamuuu
😁😁 kusukumaa eeeh, maisha sio vita ujue kama una ndoto ya kutoa watoto sita sawa sukuma sukuma inakuhusu ila kama katoto kawili au tutatu unakula tu ka kisu,eti tam tam😂😂 zee jinga sana,,,
mi lazima nisukume siwezi kupasuliwa labda itokee bahati mbaya
eti ushuzi juu😂😂😂 ku push nimeshaambiwa sio kazi bwana ila ni maneno ya watu waoga tu😁😁 kusukumaa eeeh, maisha sio vita ujue kama una ndoto ya kutoa watoto sita sawa sukuma sukuma inakuhusu ila kama katoto kawili au tutatu unakula tu ka kisu,
siku hizi visu sio kama enzi za mwalimu, Kupush ni kasheshe na ushuzi juuu , mpewe maua yenu kakweli
swala la mda tu.Sawa usisahau sasa!
😁😁😁 Tuma account ya bank baroda nikuhamishie samaki anaepaa na upajaa wa meee..eti ushuzi juu😂😂😂 ku push nimeshaambiwa sio kazi bwana ila ni maneno ya watu waoga tu
kwa niaba ya Ke wenzangu itoshe kusema asante sana,, sindikiza hayo maua na ka kitu basi tajeeeeeer😋😜
🙄🙄🙄🙄🙄Sehemu ina sura mbaya vile unapelekaje hilo domo lako haujipendi na afya yako au umeshachoka kuishi?
saiv kuna watu wa delivery 24/7 nafanya kukutumia location tu bouss kubwa😁😁😁 Tuma account ya bank baroda nikuhamishie samaki anaepaa na upajaa wa meee..
Siku unapush nitakuwa wodini kama Dr. wa zamu.. ujipangee
saiv kuna watu wa delivery 24/7 nafanya kukutumia location tu bouss kubwa
bby wangu kanambia atanipeleka nje hataki nipigwe mabao
kudeka lazima aseee sa saivi mi nianze kuhangaika barabarani natafuta nini wakati vitu vimerahisishwa👌 mwishoe nibakwe bure 😅😅😅Nimechekaa, kuna mtu nilimzoesha delivery ikawa matatizoo mazito kila kitu nifanyie delivery , watoto wa kike mnadeka sana 😁😁
Babi kama babii tuma current location sasa
😁😁 wewe na bebi wako kwenye penzi jipyakudeka lazima aseee sa saivi mi nianze kuhangaika barabarani natafuta nini wakati vitu vimerahisishwa👌 mwishoe nibakwe bure 😅😅😅
nishatuma kwenye ile ya kijani kacheki 🤗
Dude baya kama ccmdude lina sura mbaya vile linalambwa kweli gentleman, dah 🐒