Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,457
- 13,839
Hapo kwenye mkungu nafikiri ni typing errorNilimlamba hadi mkungu na bado akaniacha
Hapo kwenye mkungu nafikiri ni typing errorNilimlamba hadi mkungu na bado akaniacha
😀😀😀Hapa sijaelewa mimi mgeni
Mambo ya kiroho 😋😋
Karibu sana mkuu sisi tupo masaa 24 ni kutumiana codes tuuNikirudi home likizo dogo atanifundisha 😀
Nipate kijiwe kipya cha kushinda
Toa muongozoKaribu sana mkuu sisi tupo masaa 24 ni kutumiana codes tuu
View attachment 3588711
Ukifika nyumban utamwambia kuna mtu anataka kucheza naeToa muongozo
Naimani sio ngumu.. maana dogo katoka shule ndio kapewa cm. Ila sasa naona kama kawa pro😀
Mambo yangu haya mkuu imekuaje tena hahaha
HahahaKaribu sana mkuu sisi tupo masaa 24 ni kutumiana codes tuu
View attachment 3588711
Nisharudi kwangu, ye nimemuacha kwetuUkifika nyumban utamwambia kuna mtu anataka kucheza nae
Kuhusu muongozi ni gemu tuu kuliweka kwenye simu...
Pia ningependa kujua kama ulishawai cheza game lolote la mpira before ili nijue level yako ni ipi
Kwa huu ugumu wa hawa miamba, wangekuwepo enzi za kupigania uhuru sidhani kama tungefika 1961, ingekuwa mapema tu. min -meDuuh...! Kuna watu mna roho ngumu
Mpira unaangalia??Nisharudi kwangu, ye nimemuacha kwetu
Level yangu 0
Nachezaga candy crush tu mie 😀😀
NaangaliaMpira unaangalia??
Sijui nilisahauje hili swala😃😃😃Naangalia
😀😀😀 Chelsea lia lia hapa 💙
Tulia 😎Hapo kwenye mkungu nafikiri ni typing error
Nawapenda thanaSijui nilisahauje hili swala😃😃😃
Aah basi sawaaa hiyo hiyo knowledge ya kuwaangalia The Mandem Fc itatosh...
Jiandae kushusha hizo Gb mbili sasa tuanze kazi
Download apo ngoja nikupe linkNawapenda thana
Najua iko siku watarudi msitarini
😀😀
Ehee niambie sahvi nile Mb za mwajiri
Ikiwa sio?Download apo ngoja nikupe link
Kama ni android user
![]()
🤣🤣ndioSijui kuhusu wanawake wa siku hizi, ila mimi binti wa kitambo napenda sana!