ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja
Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite nabii au apostle.
Kiuhalisia ni kuwa hawa jamaa wanauza faraja.