USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Nimepiga kura shule ya giftskillfull temboni kwa msuguri hakuna wakala wa chadema wala ACT na wala hakuna wanapigia kura upinzaniUngekitaja mkuu. Kutaja inasaidia sanaaa fichua fichua.
Nimepiga kura shule ya giftskillfull temboni kwa msuguri hakuna wakala wa chadema wala ACT na wala hakuna wanapigia kura upinzaniUngekitaja mkuu. Kutaja inasaidia sanaaa fichua fichua.
Come on Mshana, yaani wewe hujajua tu huyu jamaa anachojaribu kukifanya? Kiingereza inaitwa voter suppression . Maana yake ni kutaka kuwakatisha wapiga kura tamaa kama chama chao au mtu wao anashinda ili wafuasi wakate tamaa na kuacha kupiga kura.Dah..wapi hii kaka
Mabivicha yana ruka na kukanyagana!Wabongo mnapenda sana lawama za kisenge, wewe ulishindwa nini kwenda kuomba kufanya kazi ya uwakala kwa siku ya leo ?
Itakuwa hawajalipwa posho na VYAMA vyao. CCM tupo?Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Ni kituo gani, Jimbo, wilaya, mkoa upi ili tuwaambie Lissu na Maalim wapeleke wakala harakaKituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Si mlisema watakinukisha?
Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovuKituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Sasa hapo ni kwamba hakuna wakala au hujaelewa yupi ni wakala maaana Title ya thread haiendani na ulicho kiandika ndani 🤔🤔🤔Mimi nimeenda kupiga kura ndani mimekuta watu wa tatu tu mmoja anasoma namba na mwingine anaandika na mwingine anakupa karatasi za kupigia kura. Nimeshindwa kuelewa pale yupi ni wakala wa chama na yupi ni mtu wa tume ya uchaguzi.
Waache ujingaKituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Sijui kama mipango ya nchi nzima?! Nami katika kituo nilichopigia kura alikuwemo wakala wa CCM pekeeHuku Jimbo la kawe hakuna mawakala wa Chadema na wachache waliokuja hawana barua za utambulisho
😂😂😂 "huwezi kusingizia usafiri mbovu "Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovu
Mkuu Lisu mwenyewe anajua kabisa nje ya twitter hana kituLakini mbona lissu alisema kama kituo hakina wakala wa chadema, hicho kituo kisipigwe kura. Vipi kamanda mbona tunaliacha hilo?
Tulia dawa iingie vizuri. Ndio mjue hakuna kuvuna bila kupanda. Chama ccm kimesukwa vibaya mno, tangu mizizi mpaka matunda. Msione vyaelea, vyaundwa.Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Mawakala wapo twitter! Si unaona wanalilia mitandao ifunguliwe?[FichuaTanzania 2020 elections updates]
!! Kuna malalamiko makubwa sana kuhusu uwepo wa makawala, maeneo mengi hayana mawakala upande wa upinzani