Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Mwongo wewe umejuaje kuwa hao ni mawakala wa vyama Hivyo, mbona hawana utambulisho wowote ktk vituo vingi?
Mtendaji wa kata kaja kukagua asubuhi pamoja na msimamizi mkuu wa uchaguzi wa ili eneo,ndo akawa anawauliza wakala mmoja mmoja jina lake,chama chake na form zao za kuapishwa.
Kisha akauliza wale wahudumu wengine wa tume"wakala wa Chadema na ACT wako wapi mbona siwaoni"
Akajibiwa"awapo"
Wakaanza kujadiliana wao kwa wao kuwa kunakituo kingine pia hawapo.
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Labda wamechelewa hata mimi nilipoenda kuna viti kadhaa vilikua havina watu vikaja vi dem vina makalio kwa kweli nimevipenda wako vizuri sana ,, turudi kwenye mada hao mademu ndo walikuwa mawakala ila wakati wanaulizwa mmoja akasema wa CCM nikaona ni sawa tu tena hapo amewahi angekuja hata sa kumi fresh
 
Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovu
Kwanini Lisu siku zile amefungiwa kufanya kampeni siku saba hakutumia muda huo kufanya organisation ya mawakala nchi nzima badala ya kuutumia kwenda kununua nyanya kariakoo?
 
Tulia dawa iingie vizuri. Ndio mjue hakuna kuvuna bila kupanda. Chama ccm kimesukwa vibaya mno, tangu mizizi mpaka matunda. Msione vyaelea, vyaundwa.
Lisu muda ule amezuiwa kufanya kampeni angeutumia kuwa organise mawakala wake angalau mijini badala yake yeye akautumia kwenda kununua nyanya kariakoo.
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Ruzuku ale nani?! Wakala atatumalizia posho bure, tukimaliza tunalalamika tumeibiwa kura kazi imeisha! Halafu bila aibu unasema ukabidhiwe Nchi wakati kituo kimoja cha kupiga kura kimekushinda! Tusifanye majaribio ya kuweka Nchi rehani. Tano,tena kwa JPM kazi iendelee!
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Kwa hiyo unataka kushauri Nini..achana nao manyumbu hao..wameshafanya kitu gani Cha kusaidia nchi yetu mpaka sasa tangu waanze vyama vingi 1992..mabilioni ya ruzuku hayafanyi lolote la maana wanapeleka mifukoni tu..na wewe bado unaendeshwa Kama gari bovu
 
Chadema haina wakala kabisa wamechoka vibaya sana
Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovu
 
Inakatisha tamaa sana.
20201028_120153.jpg
 
Back
Top Bottom