Halafu wanawahamsisha watu walinde kuraKituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Mpaka sehem uliyojiandikisha mkuuKura ya Rais unaruhusiwa kupiga popote au na yenyewe mpaka sehemu uliojiandikishia??
kamanda uchwara,wew ni mfitina huna lolote zero brain
hili swala la mawakala halina wa kumlaum watu wanataka mabadilko bila kua na uzalendo ukiwa unatafuta mawakala utasikia hao hao wanaosema wanataka mabadilko watakuambia wanataka 25000 per day wakikuhurumia watakwambia 20 sasa kwa akil ya kawaida jimbo zima unatakiwa kua na mawakala wangapi na kwa uchumi huu wa sasa s kuuziana nyumba uko?
kila kituo mawakala 4 au 3
3*105= 315 hio n jumla ya mawakala
315*20000=6,300,000
kwakweli MUNGU asipolinda nyumba yako wakeshao wafanya kaz bure.. Mungu atalinda izo kura
Mbona wote wanampotezea huyu mama ?!. Hizo ndizo kura za mapema za Jana !!Inakatisha tamaa sana.View attachment 1614530
Ungekitaja hicho kituo ili kimulikwe kipekee! Vinginevyo itaonekana ni majungu tu!
Wewe unashangaa hapo, nenda vijijini ndio utashangaa hakuna cha wakala wala mwakilishi.Mimi nimeenda kupiga kura ndani mimekuta watu wa tatu tu mmoja anasoma namba na mwingine anaandika na mwingine anakupa karatasi za kupigia kura. Nimeshindwa kuelewa pale yupi ni wakala wa chama na yupi ni mtu wa tume ya uchaguzi.
Sasa ikiwa ni kweli hawakidhi vigezo wanaruhusiwaje kuingia?Kituo cha Kikwakwaru ‘A’, kata ya Lemara, jijini Arusha, nimesikia kwa masikio yangu mmoja wa wasimamizi akimyelekeza mmoja wa wasimamizi ‘mkunja ballot’, kuwa nawakala wa ACT wasiruhusiwe kuingia, eti hawakutimiza maahartu ya viapo. Figusu za NECCCM balaa tupu!
Utata umeuweka ww kwa jinsi heading yako ilivyokaa inatofautiana na ulichokiandika ndani.Nieleweshe asee maana wote watatu mule ndani nimewakuta wamevaa nguo zinazo fanana so nani wakala na nani msimamizi pale
Jaduong nilikuambia mapema kuwa Mbowe ndio amehujumu chama chenj kishindwe. Kitendo cha kutafuna ruzuku na michango kwa ajili ya uchaguzi ni kosa kubwa sana.Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovu
Walizuiliwa kuingia ndani na hicho kituo ndiko tulikopitishia yake masanduku ya kura hewa!Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Nadhani wewe hukusoma reaction mechanism. Why? The slowest step inna reaction is the rate determining step. Likewise katika mlolonhonwote was uchaguzi, the WINNING DETERMINING STEP IS THE PRESENCE OF POLLING AGENTS. Katika mazingura ya Magufuli, ya udikiteita these are the determinant factors in our electionsKukata tamaa ni dalili ya udhaifu.
Ikiwa Lissu akukata tamaa na kupambana kufikia hatua aliyofika wewe kutoowaona mawakala imekata tamaa?
Acha uzwazwa ni sheria gani imesema kwamba wakala wa chama asipokuwepo kwenye kituo cha kupigia kura, basi zoezi la kupiga kura lisiendelee?Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Zwazwa mwingine huyu, nendeni mkafuatailie vizuri sheria, acheni ulofaMimi nimeenda kupiga kura ndani mimekuta watu wa tatu tu mmoja anasoma namba na mwingine anaandika na mwingine anakupa karatasi za kupigia kura. Nimeshindwa kuelewa pale yupi ni wakala wa chama na yupi ni mtu wa tume ya uchaguzi.
Zwazwa mama yakoZwazwa mwingine huyu, nendeni mkafuatailie vizuri sheria, acheni ulofa
Ndo uwezo wako wa kufikiri uliposhia hapo.Zwazwa mama yako