Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Ile ni jukumu la Gvt kutoa huduma kwa jamii take kwa gharama nafuu
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
kwani sirikale inafanya biashara au inatoa huduma?
hebu acha kujitoa ufahamu mbululaz.. daraja la kikwete mpaka leo linakusanya mapato kwa kiwango cha kuridhisha ingekuwa haya mazombi yenu yangeleta utopolo kama huo wa STENDI YA MEKO leo hii tusingevuka pale darajani. JE umesikia daraja limeshindwa kujiendesha?
 
Hesabu hizo walizifikia
wamefikaje kwenye hizi hesabu? ama jiwe ndio aliwapa maelekezo?

maana sioni biashara za kuingiza pesa namna hii na faida ikawepo.

kwani pamekuwa 'Kalia-koo

36m frame kwa mwezi hata iwe investment gani hamna Kodi kama hyo kwa biashara za stand
Juzi nilifika pale kituoni nikamuona jamaa pale walipokaa abiria wanaosubiri anatoa MUHOGO toka kwenye BEGI akaanza kula na kunywa maji toka nyumbani. Ni kweli biashara za stendi za mabasi ni ndogondogo sana.
 
Naomba kujua mkuu, hapo stendi ya jiwe pana gesti abiria wanaweza kulala, au mpaka ukasote mtaani?
 
Naomba kujua mkuu, hapo stendi ya jiwe pana gesti abiria wanaweza kulala, au mpaka ukasote mtaani?
Hapo ndani hakuna Guest House ila abiria naona wanalala hapo waiting lounge kama hawana alternative. Guest houses ziko nje na kuna umbali kidogo. Actually kituo bado haikijaisha bado kuna matengenezo yanaendelea kotekote.
 
Back
Top Bottom