Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Sina shaka we mleta uzi ndio Mwaka mwenyewe maana ni dr bingwa wa kujipiga prömo. Jamaa amekariri kila vipindi vyake utasikia homonal imbalance na UTI. Hata ukiumwa kichwa atakwambia homon imbalansi.

Yaaan hata na mm niliambiwa na hiyo shida bt cjapona loo. Pesa yangu naionea uchungu nw ah ah ah.
 
Inamaana Ligi ya Mdondo Cup ndiyo mwisho wake maana ndiye alikuwa mdhamini wa Ligi.
 
Wizara ya Afya imekifunga kwa mda usiojulikana kituo cha Fore plan Clinic kilichopo ilala Bungoni. Kituo hiki kinamilikiwa na Dr J.J Mwaka mtaalam wa magonjwa ya kinamama akitibu kwa kutumia tiba mbadala.

Wizara imesema kituo hakijatimiza vigezo na masharti yanayotakiwa na serikali ikiwemo kutokuwa na wataalam wenye sifa na elimu stahiki.

Dr J.J Mwaka amekuwa akionyesha kazi nzuri za kituo chake kwenye vyombo vya habari ikiwemo kutibu ugumba na upungufu wa nguvu za aina mbalimbali.
Watu wengi wamekua wakifurahia sana tiba hii mbadala itolewayo na Dr Mwaka na mpaka kituo kinafungwa wagonjwa wengi walikua wakisubilia huduma.

= wakisubiria

Kumbe kilishawahi kufungwa 2014, sasa kilifunguliwa tena vipi bila kutimiza masharti?
 
Sikutarajia kituo kama hiki kufungiwa sababu dk Mwaka amekuwa akijatangaza sana kwenye radio na tv na niliamini kituo kina vigezo vyote vya kitaalamu vinavyotakiwa
Aliyetoa vibali vya kuendesha hicho kituo achukuliwe hatua.
 
Hawa watu wa Kigoma wanajifanya wa akili sana kumbe matapeli tu!
 
Sasa twende wapi? Muhimbili iliyokidhi vigezo hakuna dawa, hawa wana dawa mnasema hawajakidhi vigezo na sio vituo vipya vipo miaka mingi tu mnasema hawajakidhi vigezo au jamaa kasitisha 10% kwa mkuu fulani wa afya? Bora mtuchimbie kabisa makaburi yaliyokidhi vigezo ili msije kutufukua baadae mkasema hayajakidhi vigezomakaburi watakayotuchimbia ndugu zetu.

Mkuu mwambie dr mwaka akupe refferal uende loliondo kwa grand katmiza vgezo usiogope
 
Back
Top Bottom