Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Kilichomponza DR mwaka hiki hapa => alikuwa ameanza tabia za kuwavuta nguo zote Wanawake kisha kuwachungulia sehemu za Siri kwa kisingizio kuwa anachunguza maradhi na kupitisha vipimo kujua yaliyomo ndani, inasemekana mmojawapo ni mke wa kigogo na baadhi ya Wanawake wajanja wa mjini wengi kawafanyia huo Udhalilishaji ndiyo maana kigwangala kaamua kuzaa naye.
Kawalamba sana wake za watu! Akiwasokomeka
Kwanza mjini wake dah jamaa hafai
 
Nazidi ishangaa tanzania kwakweli mizizi ya kichina tunaitumia mizengwe ya loliondo tunaikubali ila dawa za mwaka hazijasajiliwa waache utani hawa jamaa mwaka hawez kuwa hajasajiliwa unless watuambie alisajiliwa bila vigezo ila naona personal interest hapa
Waziri aje kutatua matatizo hku mikoani hospital kibao xray na ultrasound hazifanyi kazi...wafanyakazi hawapati staili zao ukidai unazungushwa tu na mikoani ndo kuna uozo bora hko dasalama...hku ela unayo bt huduma hupati unadhan tutaacha kuwatafuta kina mwaka?

Mkuu wana bifu lao binafsi baada ya Dr mwaka kumchungulia mkewe pindi alipoenda kutibiwa pale, ni kweli madaktari wengi wana hiyo Tabia ya kuwavua nguo za ndani Wanawake kisha kujidai wanawapima kumbe wanawadhalilisha tu hilo Tatizo hata Masana Hospital, TMJ mpaka Muhimbili, ni bora Kigwangala angeweka wazi kuwa Wizara ya Afya inapiga marufuku Madaktari kuwavua ngua wagonjwa kwa kisingizio cha kuwapima ugumba na magonjwa ya zinaa.
 
Kawalamba sana wake za watu! Akiwasokomeka
Kwanza mjini wake dah jamaa hafai

Ni kweli mkuu mastaa wengi wa jijini wamepewa dozi za kiutuuzima sana hadi akapitiliza kwa familia za vigogo ndiyo maana kimenuka.
 
Nasikia hana taaluma ya u Dr.
Ni ujanja ujanja tu

Hiyo wanajua tokea zamani lakini kwa kuwa mwanzo hakuwa na Tabia za kuwafunua nguo Wanawake waliamua kumwacha ajiite Dr lakini baada ya kugusa wake za watu ndipo Balaa la kwenye la aina litamwandama
 
nakusaka ningeomba ufafanuzi wako juu ya utapeli wa dr jj mwaka maana naona umesisitiza kifungwe moja kwa moja
 
Binafsi mkewangu anaendelea vizuri baada ya kutumia dawa za huyu bwana.ila pesa yake ndefu.dozi mimi nimenunua 250000

Baada ya kuhangaika nae sana wife tukaenda akapimwa kipimo elfu 30 kadi 10 namshukuru mola wife anaendea vizuri kiukweli

Mshukuru mola . pia endelea na dozi iishe usijali hii vita ya maslahi kati ya makundi hasimu dhidi ya hawa matabibu. Nilijizuia kuzungumzia hii vita yao maana kiukweli wamemkaba Mwaka simply sababu ya maslahi tu.
 
Mi' mwenyewe nimemsikia leo magazetini, sijawahi ckia mtu au kitu kinaitwa Dr Mwaka
 
Mkuu wana bifu lao binafsi baada ya Dr mwaka kumchungulia mkewe pindi alipoenda kutibiwa pale, ni kweli madaktari wengi wana hiyo Tabia ya kuwavua nguo za ndani Wanawake kisha kujidai wanawapima kumbe wanawadhalilisha tu hilo Tatizo hata Masana Hospital, TMJ mpaka Muhimbili, ni bora Kigwangala angeweka wazi kuwa Wizara ya Afya inapiga marufuku Madaktari kuwavua ngua wagonjwa kwa kisingizio cha kuwapima ugumba na magonjwa ya zinaa.

Kwahiyo PV watafanyiwa puani..au mdomon..acha kuongea usichokijua km mkeo hutaki apimwe na mtu kampime mwenyewe
 
Hii mada sio ya leo ni ya November 2014, someni tarehe ya mtoa mada
 
Ni kweli mkuu mastaa wengi wa jijini wamepewa dozi za kiutuuzima sana hadi akapitiliza kwa familia za vigogo ndiyo maana kimenuka.
Duh ndomana mange kimambi alilialia sana! Maana washikaji zake wamelambwa sana
 
Soma vizuri sababu za kumfungia Dr mwaka,,,kujiita Dr bila kusomea ( including kuwavua wanawake nguo wakati sio Dr wa wanawake) , kutibu kisasa wakati hujasomea, kujitangaza

Nazidi ishangaa tanzania kwakweli mizizi ya kichina tunaitumia mizengwe ya loliondo tunaikubali ila dawa za mwaka hazijasajiliwa waache utani hawa jamaa mwaka hawez kuwa hajasajiliwa unless watuambie alisajiliwa bila vigezo ila naona personal interest hapa
Waziri aje kutatua matatizo hku mikoani hospital kibao xray na ultrasound hazifanyi kazi...wafanyakazi hawapati staili zao ukidai unazungushwa tu na mikoani ndo kuna uozo bora hko dasalama...hku ela unayo bt huduma hupati unadhan tutaacha kuwatafuta kina mwaka?
 
Mi navyohisi ni kuwa si kweli kuwa haya walikuwa hawayajui miaka yote ile ila itakuwa kuna mkubwa kamshika pabaya ndo wamemuamulia sasa.
 
Mkuu mwambie dr mwaka akupe refferal uende loliondo kwa grand katmiza vgezo usiogope

Kanitibu nimefanikiwa, refferal ya nini? Kama hujapata tatizo nyamaza, acheni watu watafute mwaka hajaenda nyumbani kwa mtu, watu wanaenda kwake.
 
Hii haina tofauti na desi.serikali yetu inakuwa wakati mwingine iko likizo sasa hii ndio nini?

Mimi nafikiri hawa wapewe maelekezo na namna ya kufanya ili baadaye wakikidhi vigezo wafunguliwe.
Lakini pia ili kutenda haki wawatafute woote wanaotoa Huduma kama hizi nchi nzima maana wako wengi kwenye tv wanajitangaza,
Wakiishia kwa huyu watu watajua kutakuwa na hicho.
 
Kwahiyo PV watafanyiwa puani..au mdomon..acha kuongea usichokijua km mkeo hutaki apimwe na mtu kampime mwenyewe

Kumbe wewe ni Dr mwaka? Endelea kuwapima kimya kimya maana sasa watakuja kukufuata ulipo au kwenda walipo, lakini kumbuka kumpima mtu PV lazima awepo nesi pembeni vipimo vifanyike mbele ya shahidi, lakini madaktari wengi akiwemo wewe Mwaka huwa hamfuati sheria za udaktari bali huwapima Wanawake mkiwa peke yenu tena mkiwa mmejifungia ndani.
 
Back
Top Bottom