Afadhali waziri wa afya kidogo umefanya kazi binafsi mimi na familia yangu t7nakupongeza hongera sana waziri wa afya,huyo jamaa ni tapeli wa kufa mtu hafai hata kidogo kisifungiwe tu kifutwe kabisa!
chaajabu ...hikibkituobkina zaidi ya miaka 3 sasa walikuwa wapi kukifungia kabla....serikali yetu bhana aaaaagh
Alichuma pesa ndefu kwa sasa anaendesha ligi ya Ndondo Cup!
Khs muda wa kukifungia unajua ile ni AJIRA ya watu so hawawezi kukurupuka cnilazima wajilidhishe na km unavyojua kz za Serikali kz yakufanya mtu mmoja inafanywa na watu zaidi ya 20 na kila mtu kwa rtb yake mara huyu kaenda kwenye semina mwingine likizo mara vikao,,,so kwa mambo ya serikali hatushangai ishu ni je nikweli jamaa hajakidhi vigezo au amegoma kudakisha wakubwa,,,!
Katika hospitali moja maarufu ninakofanyia kazi nimekuwa nikikutana na wagonjwa wengi waliofeli matibabu kutoka kwa anaejiita Dr.Mwaka.Awali nilikuwa nafikiri ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama (gynaecologist) kumbe ni mganga wa kienyeji halafu jamaa halijaenda shule.Huyu jamaa sio kwamba waliomfungia kituo wamemwonea bali wamefanya kweli kwa sababu jamaa ni TAPELI KUFURU
Wizara ya Afya imekifunga kwa mda usiojulikana kituo cha Fore plan Clinic kilichopo ilala Bungoni. Kituo hiki kinamilikiwa na Dr J.J Mwaka mtaalam wa magonjwa ya kinamama akitibu kwa kutumia tiba mbadala.
Wizara imesema kituo hakijatimiza vigezo na masharti yanayotakiwa na serikali ikiwemo kutokuwa na wataalam wenye sifa na elimu stahiki.
Dr J.J Mwaka amekuwa akionyesha kazi nzuri za kituo chake kwenye vyombo vya habari ikiwemo kutibu ugumba na upungufu wa nguvu za aina mbalimbali.
Watu wengi wamekua wakifurahia sana tiba hii mbadala itolewayo na Dr Mwaka na mpaka kituo kinafungwa wagonjwa wengi walikua wakisubilia huduma.
Mwenye kituo ameachwa au ameenda kunyea debe?:Serikali inatakiwa imchukue na mmiliki imtie ndani maana wanachezea sana afya za watu. Madawa yao ni ghali, na hayatibu chochote! Heko wizara ya afya
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!
mkuu hata mimi walinipa dawa ya kuharisha siiwezi kuisahau.
waache wayafungie hayo madokta . Kazi kuwalandua wagonjwa kwa bei za kufa mtu ! Madawa yenywe hayatibu chochote !
Katika hospitali moja maarufu ninakofanyia kazi nimekuwa nikikutana na wagonjwa wengi waliofeli matibabu kutoka kwa anaejiita Dr.Mwaka.Awali nilikuwa nafikiri ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama (gynaecologist) kumbe ni mganga wa kienyeji halafu jamaa halijaenda shule.Huyu jamaa sio kwamba waliomfungia kituo wamemwonea bali wamefanya kweli kwa sababu jamaa ni TAPELI KUFURU
Katika hospitali moja maarufu ninakofanyia kazi nimekuwa nikikutana na wagonjwa wengi waliofeli matibabu kutoka kwa anaejiita Dr.Mwaka.Awali nilikuwa nafikir ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama (gynaecologist
Vipi mkuu! inaonekana una hasira walikuuzia dawa feki ya nguvu za kiume au.