Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Si hao tu,mikoani wapo watu wamefunguwa maduka ya dawa za asili,na wanawapa watu dawa,kwa maelekezo ya kutumia.Yasemekana watu wengi yanawadhuru haya madawa,kwa vile hawa wanaouza hawana utaalamu wowote wa madawa.Lingetolewa tamko Maduka haya yawe na wauzaji waliosemea mambo ya madawa.Mwenye kituo ameachwa au ameenda kunyea debe?:Serikali inatakiwa imchukue na mmiliki imtie ndani maana wanachezea sana afya za watu. Madawa yao ni ghali, na hayatibu chochote! Heko wizara ya afya