Chini ya uongozi wa jK kila kitu kiliwezekana teh.
Naam, na hivyo ndivyo uongozi unatakiwa uwe.
Si kubania bania kila kitu.
China kuna mpaka vyuo vikuu vya tiba mbadala tena vingine ni vikubwa kuliko chuo chochote cha hapa kwetu.
Kama mwaka ana tiba mbadala na inawasaidia watu, sioni sababu kwanini afungiwe?
Naam, na hivyo ndivyo uongozi unatakiwa uwe.
Si kubania bania kila kitu.
China kuna mpaka vyuo vikuu vya tiba mbadala tena vingine ni vikubwa kuliko chuo chochote cha hapa kwetu.
Kama mwaka ana tiba mbadala na inawasaidia watu, sioni sababu kwanini afungiwe?
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!
Magu atabana vyema...si kuachiachia hovyo kama m.kwere hata ikulu unaachia tu utadhan mtu umerogwa....hovyo sana yule mzee
Sababu za kumfungia zipo. Anatoa tiba ya kisasa wakati kibali chake ni cha tiba mbadala na anajitangaza hovyo (bila utaratibu) kinyume na sheria hiyo ya tiba mbadala.
Kama anakiuka sheria inabidi afate sheria.
Wizara ya Afya imekifunga kwa mda usiojulikana kituo cha Fore plan Clinic kilichopo ilala Bungoni. Kituo hiki kinamilikiwa na Dr J.J Mwaka mtaalam wa magonjwa ya kinamama akitibu kwa kutumia tiba mbadala.
Wizara imesema kituo hakijatimiza vigezo na masharti yanayotakiwa na serikali ikiwemo kutokuwa na wataalam wenye sifa na elimu stahiki.
Dr J.J Mwaka amekuwa akionyesha kazi nzuri za kituo chake kwenye vyombo vya habari ikiwemo kutibu ugumba na upungufu wa nguvu za aina mbalimbali.
Watu wengi wamekua wakifurahia sana tiba hii mbadala itolewayo na Dr Mwaka na mpaka kituo kinafungwa wagonjwa wengi walikua wakisubilia huduma.
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!
Duh! Watu wengi sana watakufa njaa mwaka huu. Pia black markets zitaongezeka. Atakachofanya Dr Mwaka, atakuwa anatibu wateja wake undercover. Si contacts anazo? So serikali bado haijaweza kwenye hilo...
Vituo hivyo vipo vingi sana wengine wapo Kinondoni na wengine wapo Mbezi nk tatizo lao kubwa ni bei za Dawa pia Tabia ya kuwadhalilisha Wanawake kuwavua nguo kwa kisingizio cha kuwapima magonjwa ya zinaaSasa twende wapi? Muhimbili iliyokidhi vigezo hakuna dawa, hawa wana dawa mnasema hawajakidhi vigezo na sio vituo vipya vipo miaka mingi tu mnasema hawajakidhi vigezo au jamaa kasitisha 10% kwa mkuu fulani wa afya? Bora mtuchimbie kabisa makaburi yaliyokidhi vigezo ili msije kutufukua baadae mkasema hayajakidhi vigezomakaburi watakayotuchimbia ndugu zetu.
Haaaaa kwani sasa unapimaje ugonjwa unaohitaji kupata specimen hasa kutoka kwenye vagina?Vituo hivyo vipo vingi sana wengine wapo Kinondoni na wengine wapo Mbezi nk tatizo lao kubwa ni bei za Dawa pia Tabia ya kuwadhalilisha Wanawake kuwavua nguo kwa kisingizio cha kuwapima magonjwa ya zinaa