Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Mbona una puyanga tu, unajikanyaga mwenyewe, mara kuomba sio kosa alafu tena unarudi kulekule kwamba sio mbunge kuomba,

Alaah, kwani mbunge akiomba kavunja sheria?! Kama hajavunja sheria tatizo nini?! Uliona speaker kamwambia ummevunja sheria kaa chini?! Ukiona kapewa taarifa ya kukosolewa bungeni?! Hakupewa vyote hivyo kwasababu Yuko sawa! Kimei kaona fursa kwa watu wake na kaitumia, na nyie ombeni muone kama mtanyiwa!

Shida mnataka kushindana na msomi PhD Holder! Dr. Kimei, "akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa mwanamayu!"
Tatizo siyo kuvunja sheria tatizo ni kuwa kinachofanyika ni sahihi. Magufuli anaweza peleka pesa zote za miradi ya maji, umeme na miradi yote ya maendeleo Chato na anakuwa hajavunja sheria lakini inakuwa ni sawa? Hapa siyo kwamba hilo jambo lipo kisheria au la ila hilo jambo alilofanya Kimei lipo sawa? Nchi ipo free hii, mtu ambaye hana ardhi anaweza kuipata popote. Hakatazwi na mtu, huhitaji rais akupendelee kwa kukupa ardhi.
 
Kuomba ardhi sio kosa mkuu, elewa hill kwanza, hilo jambo sio kinyume cha sheria, kuomba ardhi ni sawa, hakuna kosa kwenye hilo, tunaongozwa na sheria nipe kifungu cha sheria ambacho kinakataza au kinazuia MTU au watu au mbunge wao kuomba ardhi nitaungana na wewe,

Kama hakuna kifungu chochote cha sheria kinachozuia wala kukataza hilo obviously sio kosa, usipoteze nguvu kubwa kwenye hilo, wala hakuna mtu anayetaka upendeleo bali wanatumia haki yao ya kikatiba kama watanzania kuomba ardhi mkuu, kuomba ardhi sio kosa tuelewe hilo, period.
 
Ukitaka sheria sheria iko wazi. Unaenda kijijini, wanakaa mkutano. Wanajadili kama wana ardhi ya kukupa. Ukitaka zaidi ya ekari 250 lazima uende wizarani. Huo ndiyo utaratibu wa kupata ardhi na si kumuomba rais.
 
Mbona una ruka ruka?!

Jibu swali: "kuomba ardhi ni kosa?!"

Ndio au hapana! Acha kurukaruka swali!
 
Hata kuomba ardhi ni utaratibu pia huna hoja zaidi ya kurukaruka!

Umeshindwa kujibu swali rahisi sana!

Kuomba ardhi ni kosa kisheria?!
Sheria ipo inahusu utaratibu wa kupata ardhi sasa kwenda kuomba kwa Rais ndiyo kituko kinachozungumzwa hapa. Tena kimetolewa na mtu anayeaminika ni msomi.
 
Ungekuwa na akili kidogo ungejiuliza wabunge wote hawakujua kama ni kituko au kosa isipokuwa wewe mzururaji tu kwenye mitandao?

Speaker wa bunge hakuona ni kituko na kosa ampe muongozo isipokuwa wewe mpuyangaji humu jf?

Mwanasheria was serikali kule bungeni hakuona ni kosa Ila wewe mnuka vumbi?

Hata nyerere alivyotoa ardhi alikuwa kituko pia? Lakini wewe unaakili za makalioni sio?

Ahahaaaa nyie nyumbu mnaakili finyu sana!
 
Mkuu Stamina anapuyanga sana japo nampiga palepale!
 
Ungekuwa na akili kidogo ungejiuliza wabunge wote hawakujua kama ni kituko au kosa isipokuwa wewe mzururaji tu kwenye mitandao?

Speaker wa bunge hakuona ni kituko na kosa ampe muongozo isipokuwa wewe mpuyangaji humu jf?

Mwanasheria was serikali kule bungeni hakuona ni kosa Ila wewe mnuka vumbi?

Hata nyerere alivyotoa ardhi alikuwa kituko pia? Lakini wewe unaakili za makalioni sio?

Ahahaaaa nyie nyumbu mnaakili finyu sana!
Uhuru wa maoni hata wajinga hupewa nafasi. Ulitaka spika amkataze kuongea?
 
Bungeni kuna taratibu na miongozo hiwezi kujiongelea ovyo kama sokoni kariakoo,

Sikushangai hulijui hili, kama hujui kuwa kuomba ardhi sio kosa kisheria , utajua kanuni na miongozo ya bunge?!
Kama kuna miongozo na taratibu hata kupata ardhi kuna miongozo na taratibu. Wapi walifuata taratibu na wakakataliwa ardhi hadi waende kuomba?
 
Kuomba ni moja ya taratibu hiyo acha kujitoa ufahamu basi, ulitaka wakaombe wapi wasipopajua, watu elfu walioko kijijini ndani ndani watajuaje kama Ruvuma namtumbo kuna eneo kubwa lisilo na watu?!

Wakitumia mwakilishi wao bungeni ni kosa kisheria?! Acha kujitoa akili bwana mdogo, nakuelimisha tu kuomba ardhi sio kosa, acha ujinga.
 
Bora mjinga hajui; siku akijua ataelimika, huyu anajua ila anabisha tu, anayejua lakini hataki kuelewa huyo sio mjinga bali ni mpumbavu, kwamujibu wa kamusi ya kiswahili.
 
Kuomba ni moja ya taratibu hiyo acha kujitoa ufahamu basi, ulitaka wakaombe wapi wasipopajua, watu elfu walioko kijijini ndani ndani watajuaje kama Ruvuma namtumbo kuna eneo kubwa lisilo na watu?!

Wakitumia mwakilishi wao bungeni ni kosa kisheria?! Acha kujitoa akili bwana mdogo, nakuelimisha tu kuomba ardhi sio kosa, acha ujinga.
Ni sawa na kwenda benki kuomba hela kisa siyo kosa. Mwambie mbunge wa vunjo kuwa kuomba ardhi kwa rais siyo utaratibu. Msomi kama yeye alitakiwa kujua utaratibu wa kupata ardhi.
 
Wewe kilaza ni nani umwambie PhD holder, bot and crdb credible, mpuuzi mmoja mzururaji tu.

Hata mmbunge wenu msukuma hawezi hata kumfungua kamba za viatu sembuse kilaza mmoja wa darasa la tatu B kutoka makoroboi, acha kuchekesha watu bwasheee. Kakojoe ukalale.
 
Mkuu Loyalist haka kajamaa kalivyo kapumbavu Karnataka kujilinganisha na Dr. Kimei, kajuha sana aisee.
 
Back
Top Bottom