Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Tatizo siyo kuvunja sheria tatizo ni kuwa kinachofanyika ni sahihi. Magufuli anaweza peleka pesa zote za miradi ya maji, umeme na miradi yote ya maendeleo Chato na anakuwa hajavunja sheria lakini inakuwa ni sawa? Hapa siyo kwamba hilo jambo lipo kisheria au la ila hilo jambo alilofanya Kimei lipo sawa? Nchi ipo free hii, mtu ambaye hana ardhi anaweza kuipata popote. Hakatazwi na mtu, huhitaji rais akupendelee kwa kukupa ardhi.Mbona una puyanga tu, unajikanyaga mwenyewe, mara kuomba sio kosa alafu tena unarudi kulekule kwamba sio mbunge kuomba,
Alaah, kwani mbunge akiomba kavunja sheria?! Kama hajavunja sheria tatizo nini?! Uliona speaker kamwambia ummevunja sheria kaa chini?! Ukiona kapewa taarifa ya kukosolewa bungeni?! Hakupewa vyote hivyo kwasababu Yuko sawa! Kimei kaona fursa kwa watu wake na kaitumia, na nyie ombeni muone kama mtanyiwa!
Shida mnataka kushindana na msomi PhD Holder! Dr. Kimei, "akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa mwanamayu!"