Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Hivi sisi wanaume tumekuwaje!?? Tunajishushia heshima sana.

Mdau, sio kila kitu kuja kushitaki kwenye mitandao ya kijamii.

Kuna mshenga, pia kama ni ndoa ya kikristo kuna wasimamizi, yaani wale walezi wa kiroho.

"Ukiishi na mwanamke, ishi naye kwa akili sana"

"Tamaa yako itakuwa juu ya mumeo, naye atakutawala... "

Usiku mwema mkuu...
Ndio wanaume wa siku hizi hao!! Kazi ipo.
 
Nilikuwa nakuhurumia lakini uliposema kukulwa na sisimizi nimejikuta tu nacheka...

Usimwache, we ongea nae na ikiwezekana badilisha mahala pa kula tunda pendwa, usiku mnaweza kuoga wote huko ukapata kimoja cha pili mna malizia chumbani tena sio kitandani, kama kuna kochi chumbani mchezo umalizie hapo hapo....
Jitahidi kumuandaa vyema kabla ya mechi... Asipobadilika hapo dawa ya wanawake waijua, sikushauri ufikie huko ila ikibidi jibu unalijua
Labda zile nyumba za kupanga, bafu passport size alafu liko km1.[emoji85] [emoji85]
 
Miaka kumi??? Leo kabadilika? Ubahili wako mwanamke ndo amekuwa kama mme chakula na kila kitu yeye, ana madeni balaa wewe unamjia na minyege yako??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lazima " fanya haraka nataka kulala" ikuhusu.
 
Hahaha!!sisimizi wale wenye vichwa vikubwa hatari sana.

Tehtehteh!! Hii kali kwa kweli
 
Inatokeaga tu ila ongea naye kama wengine walivyo sema atabadilika tu
 
Miaka kumi??? Leo kabadilika? Ubahili wako mwanamke ndo amekuwa kama mme chakula na kila kitu yeye, ana madeni balaa wewe unamjia na minyege yako??
Dah sina la kusema lakini hakuna kitu kama hicho nikifika napiga sarakasi zilizomufukoni zote zinaanguka
 
It means hata wewe mchafu

Ulivyong'atwa na sisimizi ungeenda kujiangalia au ungewasha taa (it means hukuona mivhanga kwa.kuwa.mnafanyia gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16])

Ila pole mkuu
nimeshapoa mkuu
 
kweli nazid kuamin hata siku moja usijaribu kujenga nyumba kwenye njia ya maji yan lazima siku 1 yatarud tuuu kule kuleeeee
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
yakuficha usiweke hadharani bro..
 
Mlete kwangu nimtie adabu.

Hebu tupia picha yake hapa kwanza
 
Una jambo unalomkera lakini kaliwekea moyoni, kitandani pia jitahidi kubadili hata vistaili ili mood irudi ya kufanya hilo tendo tena. Most of the women wakiwa na jambo moyoni linamtukuta lazima utaona vitukio kama hivyo... Jitahidi kumtoa out na kumuuliza ana shida gani in polite and romantic way..
hehehe ila nyieee bhana!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fanya haraka mimi nataka kulala.
Show za KIBABE [emoji441][emoji443][emoji443][emoji444][emoji442][emoji446][emoji344]
 
Back
Top Bottom