Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Acheni zenu mnapembelexa waanawake anazingua ondoka mi alixingua akasema nitaondoka na wanangu nikuachie nyumba yako niliokuwa nimecheng kijitonyama... mi nikaondoka nikamuachia nyumba nikapanga miaka 2 hapo nimeshanunua uwanja nikajenga nyumba basi nikahamia kwangu mwaka wa4 sasa watoto wamenifuata mimi maisha yanaenda mpaka gari nilimuachia nipepa tuu nguo chache
Hiyo miaka 4 huajawahi kuwa na mwanamke mwngine? Acha kuwadharau wanawake, mwanamke ndo kakuzaa, anakupa starehe kakuzalia na watoto acha kujifanya mjuaji wwwwwweweee
 
Una jambo unalomkera lakini kaliwekea moyoni, kitandani pia jitahidi kubadili hata vistaili ili mood irudi ya kufanya hilo tendo tena. Most of the women wakiwa na jambo moyoni linamtukuta lazima utaona vitukio kama hivyo... Jitahidi kumtoa out na kumuuliza ana shida gani in polite and romantic way..
Kama ana mke mwenye akili zinazoweza kuwekwa sawa na outing basi ajue anahasara kubwa nyumbani mwake.
Any!! inamaana hana hata house girl?
methali inasema "dawa ya moto ni moto"
 
Kama ana mke mwenye akili zinazoweza kuwekwa sawa na outing basi ajue anahasara kubwa nyumbani mwake.
Any!! inamaana hana hata house girl?
methali inasema "dawa ya moto ni moto"
Jogi huna maana hiyo mbinu mpya kaifanyie kazi kwako acha kumponza mwenzio
 
Nilikuwa nakuhurumia lakini uliposema kukulwa na sisimizi nimejikuta tu nacheka...

Usimwache, we ongea nae na ikiwezekana badilisha mahala pa kula tunda pendwa, usiku mnaweza kuoga wote huko ukapata kimoja cha pili mna malizia chumbani tena sio kitandani, kama kuna kochi chumbani mchezo umalizie hapo hapo....
Jitahidi kumuandaa vyema kabla ya mechi... Asipobadilika hapo dawa ya wanawake waijua, sikushauri ufikie huko ila ikibidi jibu unalijua
Kuongeza mke eti eeeeh!!!
 
Tafuta bmdogo tu wala usiumize kichwa akiona umuombi lazma aanze kulalamika! Wala uctafute wazee au ushaur...
 
Ila mkuu una moyo, mi nikipewa papuchi kwa masimango siwezi kula hata kwa dawa, hata hamu nayo nitakua sina kabisaaa
 
Haahahahah unaishi kwenye kichuguu nin,siafu wanatoka wap chumbani
 
Back
Top Bottom