Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

hakika wanaume wanazidi kupotea mbna unawaaibisha wanaume wenzako hivi kweli unaandika kbisa uloyaandika vijana hamjaenda jandoni

haya sawa muache mpe taraka 3
Hakuna aibu kwenye jambo la kweli tukificha tutazidi kuangamia kesho akija na tambara la acid
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
Hapa ndo utaona kuwa mwanamke akikuchoka utajuta.
Usimuulize kitu uwe unarudi nyumbani umeshiba vizuri kwa Maria fika kulala tu.
Usiguze papuchi yake mwache, kula msimamo.
Atakuwa wa kutoka familia zile ni wasumbufu kweli.
 
Dera la zamani....! Mkuu inaelekea unatabia tabia za mwanaume suruali. Mtunze akutunze
 
Kwa nini usingeanza kumfuta yeye kwanza? Chunguza ni wapi unamkosea, hawa watu wakati mwingine ukiwakosea huwa hawasemi, ni vituko tu kwa sana! Timiza majukumu yako tote ipasavyo, unyumba atakupa mwenyewe na itakuwa kama mmeoana Jana.
 
sawa mkuu
 
Hapa ndo utaona kuwa mwanamke akikuchoka utajuta.
Usimuulize kitu uwe unarudi nyumbani umeshiba vizuri kwa Maria fika kulala tu.
Usiguze papuchi yake mwache, kula msimamo.
Atakuwa wa kutoka familia zile ni wasumbufu kweli.
umeona balaa hilo
 
kama uvunguni kweli kuna siafu kwa karne hii ya 21 sipati picha mwenzetu unaishi mazingira gani kwa kweli..na kama hayo matambara yako katika hali hiyo huo uvundo unastahimili vipi lakini?
Nashukuru na naheshimu maoni yako
 
It means hata wewe mchafu

Ulivyong'atwa na sisimizi ungeenda kujiangalia au ungewasha taa (it means hukuona mivhanga kwa.kuwa.mnafanyia gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16])

Ila pole mkuu
 
Miaka kumi??? Leo kabadilika? Ubahili wako mwanamke ndo amekuwa kama mme chakula na kila kitu yeye, ana madeni balaa wewe unamjia na minyege yako??
 
Back
Top Bottom