Huenda ikawa hivyo[emoji38][emoji38][emoji38]aliandaa kabisa kukukomoa
moyo wa mtu ni msituKashachoka mlungura wa ndani, anatafuta mwingine huko nje
Ubaya huficha mazuri la baiskeli mmhhMiaka 10 halafu badala ya kuongea na mkeo uulize tatizo nini unatuuliza sisi! We unachojua ni kusimamia baskeli usiku ku na kupiga pedeli mbona husemi mazuri yake pia?
Uwongo mtupu Mara ndoa ina miaka 10 mara mwaka mmoja akaanza kubadilika acha kutunga!Salaam wadau
Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki
lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,
jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena
kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu
balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa
Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume
dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke
ushauri please kuna mapenzi tena hapo
ahsanteni
Dah yamekuwa hayooUkute mkeo huyo anajibu mashambulizi kwamba ww muongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kazi kweli kweliSalaam wadau
Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki
lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,
jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena
kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu
balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa
Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume
dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke
ushauri please kuna mapenzi tena hapo
ahsanteni
sikuladhimishi maoni yako yamepokelewaUwongo mtupu Mara ndoa ina miaka 10 mara mwaka mmoja akaanza kubadilika acha kutunga!
wala hayo si ya kusemaDuuh...location ya kitanda chako kiko nje nini maana kwa maelezo haya ng'e wako nje nje...Unabahati sana maana hawa wadudu ng'e na Tandu wange ng'ata mtalimbo wako sasa hv habari zingekuwa nyingine mkuu😀😀
Huo ni ujasiri kabla hujaoamke wangu ajaribu kuleta nyodo hata kwa mbali mbali tu aone kama atamaliza hata siku hajafika kwao kavimba uso na talaka zote bila chenji....!!!!
Ya ngwasu muachie ngwasu....he km wanaishi nyumba ya tope???Humo ndani ni kuchafu mpaka vumbi michanga sisimizi aibu saana mwanamke mchafu
Hivi nyumba ya tope aifanyiwi usafi eehYa ngwasu muachie ngwasu....he km wanaishi nyumba ya tope???
Humo ndani ni kuchafu mpaka vumbi michanga sisimizi aibu saana mwanamke mchafu
AsanteNalipenda sana hilo jina la Sharifa....
Sindiyo hapo sasa akufanyiwi usafiMpka home chumbani tena chini ya kitanda kuna michanga na wadudu hamfagii hyo nyumbani nyie wachafu sana