Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Chukua kalamu na karatasi, mpe mwambie aandike kila kitu asichopenda kuhusu wewe, na anavyopenda ujirekebishe..na wewe ufanye hivyo hivyo...kila mtu amwage povu lake kwenye karatasi baadae mbadilishane..usome vyake na yeye asome vyako usivyopenda kuhusu yeye..then hapo utapata pa kuanzia.
Lakini pia... ukimaliza kula issue nenda bafuni bwana achana na mambo ya kujifuta..unaona sasa pangekuwa na nnge kwenye hilo tambara ungekuwa unaongea nini saa hizi?
[emoji16][emoji16][emoji16] yani wafanye 360
 
"Alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume"

Mkuu inamana hapo kwenye kitanda mnacholalia mpo salama kweli maana ilo tambala mmelipata chini ya hicho kitanda.....kwa hali hiyo uyo mwanamke hana kosa maana kakosa mzuka kitokana na mazingira halisi
 
Bora wew umekua mkweli mkuu..maana wengi humu hawaelezi hali halisi ya maisha ya kitanzania,chini ya vitanda vya walio wengi kuna uchafu wa kila aina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole kwa kungatwa
eb kaa nae uongee nae umuulize nn shida
 
Chukua kalamu na karatasi, mpe mwambie aandike kila kitu asichopenda kuhusu wewe, na anavyopenda ujirekebishe..na wewe ufanye hivyo hivyo...kila mtu amwage povu lake kwenye karatasi baadae mbadilishane..usome vyake na yeye asome vyako usivyopenda kuhusu yeye..then hapo utapata pa kuanzia.
Lakini pia... ukimaliza kula issue nenda bafuni bwana achana na mambo ya kujifuta..unaona sasa pangekuwa na nnge kwenye hilo tambara ungekuwa unaongea nini saa hizi?
Tumeshaoga tmelala afu akaoge mambo ya kuoga ni hasbuhi
 
kama uvunguni kweli kuna siafu kwa karne hii ya 21 sipati picha mwenzetu unaishi mazingira gani kwa kweli..na kama hayo matambara yako katika hali hiyo huo uvundo unastahimili vipi lakini?
 
Wanawake was siku iz vichefuchefu dawa ni kuchepka unafka hom umejchokea unalala safi kabsaa ukinfanyia ivyo wiki 2 lazma aulize
 
Polee anza kwa kuongea naye kwanza ujue nini hasa tatizo alafu jitahidi kua muwazi kwake na kumsihi pia awe muwazi kwako ila katika kuongea naye inabidi uwe mvumilivu kidogo pia zingatia mazingira yawe mazuri kama alivyoxema relato then ndo utajua ufanye nn baada ya hapo
Kamnunulie tenge la wax toka kgm, mwambie unampenda sana, aache kujishaua!!!!
 
Kwanza jaribu kumtoa out,then ongea nae umuulize nini tatizo la hayo yote. Muelezee na hali yako jinsi unavyojisikia na unavuotamani awe. Asipobadilika basi Shirikisha mshenga,wakwe zako na viongozi wa dini,pia ndugu na jamaa zake anao waheshimu. Anaweza badilika.
Pole Sana mkuu
Hivi we hujakutana na wanawake wa kiswahili. Mwanamke akishafikia hatua hii hakupi hata nafasi ya hayo maujinga. Hayo wafanyie wazungu sio hawa akina mwanahamisi.
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
 
Hivi we hujakutana na wanawake wa kiswahili. Mwanamke akishafikia hatua hii hakupi hata nafasi ya hayo maujinga. Hayo wafanyie wazungu sio hawa akina mwanahamisi.
Hayo ni mawazo yako,na Mimi nimetoa mawazo ya kwangu ,usitake tufanane mawazo. Where we dare to talk. Just by my mind and use yours na usinipinge na mawazo yangu mkuu.
 
Hiyo njia ndefu sana wewe acha kumpoteza mwenzio..... wanawake wakijua una michepuko tena sio mmoja huwa wana heshima sana kuliko akijua unamtegemea yeye tu
Mimi nimtoa ya kwangu,na wewe toa ya kwako pasipo kunitoa ufahamu since Mimi si mwendawazimu. Jaribu kuheshimu mawazo ya mwingine. That's all mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua si nacheka kwa mazuri ila mmmh mwenzanguy Huyo usimuachee...dawa yke ndogo huyo akikufanyia kimbwanga chochote usimkasirikie wala usimuulize uchune,,,,... Mvumilie kwa kila kitu MPE .
Mapenzi yote anayostahili km mke alfu mwangalie asipo badilika huyo kashindikanaa....maana km atakuwa anakufanyia visa alafu we unamdharau huulizi. ... Atajiuluza huyu mbn haniulizi wala hakasiriki......hapo mwenyewe atajileta tena jifanye busy kweliii hakuna kumuacha huyo mwachee augulie maumivu ya kmy kmy
 
Kwanza jaribu kumtoa out,then ongea nae umuulize nini tatizo la hayo yote. Muelezee na hali yako jinsi unavyojisikia na unavuotamani awe. Asipobadilika basi Shirikisha mshenga,wakwe zako na viongozi wa dini,pia ndugu na jamaa zake anao waheshimu. Anaweza badilika.
Pole Sana mkuu
Out za nini nyoo ukimwaga ugali na mwaga mboga tena hata sikuulizi kmy kmy
 
Du! Hiyo sio ndoa, bali ndoano. Mi nnavyopenda kutoboa tobo, afu ninyimwe au nipewe kwa masimango!! Ningemtolea hata kwa dirishani, wala nisingehangaika kuja hadi huku! Nimemlipia ati!! Ila Isijekuwa kuna njemba inakusaidia kubutua!! tena wezi wanavyopenda sifa, wanasimamia hata kwenye kiteremko![emoji468] [emoji468] [emoji468] ila chunguza kwanza, ukijiridhisha. Uamuzi ni wako!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3] sasa hao sisimizi aliwaingiza yeye ndani au mlikula samaki mkaweka vyombo chini ya uvungu? kuna kitu utakuwa umemuudhi embu more out kama Mara 2 alafu ya 3 muulize baby n nini mbaya
 
Kwanza jaribu kumtoa out,then ongea nae umuulize nini tatizo la hayo yote. Muelezee na hali yako jinsi unavyojisikia na unavuotamani awe. Asipobadilika basi Shirikisha mshenga,wakwe zako na viongozi wa dini,pia ndugu na jamaa zake anao waheshimu. Anaweza badilika.
Pole Sana mkuu
Ahsante mkuu ushauri nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom