Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Duh! [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] POLE sana[emoji34] [emoji34] [emoji15]
Nakushauri usimuache mke wako, ila ni vizuri mkae chini na wazee ili kama kuna tofauti zenu mzimalize na maisha yaendelee.

Kuwa makini leo[emoji220] siku nyingine asije akakuwekea [emoji219] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dushe litavimba kama mpira wa gari la zimamoto
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
Kabla sijamaliza kusoma ngoja nicheke kwanza [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu umenichekesha sana kwa huo ubwege wako, ningekuwa mimi nadhani mtaa mzima ningekuwa na michepuko..... lakini na wewe acha upumbafu basi jitahidi angalau akute meseji za demu anakulilia kukubembeleza ili na wewe pembeni unapiga miti
 
Kwanza jaribu kumtoa out,then ongea nae umuulize nini tatizo la hayo yote. Muelezee na hali yako jinsi unavyojisikia na unavuotamani awe. Asipobadilika basi Shirikisha mshenga,wakwe zako na viongozi wa dini,pia ndugu na jamaa zake anao waheshimu. Anaweza badilika.
Pole Sana mkuu
Hiyo njia ndefu sana wewe acha kumpoteza mwenzio..... wanawake wakijua una michepuko tena sio mmoja huwa wana heshima sana kuliko akijua unamtegemea yeye tu
 
Una jambo unalomkera lakini kaliwekea moyoni, kitandani pia jitahidi kubadili hata vistaili ili mood irudi ya kufanya hilo tendo tena. Most of the women wakiwa na jambo moyoni linamtukuta lazima utaona vitukio kama hivyo... Jitahidi kumtoa out na kumuuliza ana shida gani in polite and romantic way..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asee...kumbe ndo inavyokuwaga ivo..[emoji13] [emoji13]
 
Ndoa nyingi watu hawaongei na siku hizi mitandao ya kijamii ni janga mme karudi kazini ukifika nyumbani ni kula laptop iko wapi muda wakulala ni kuparamiana hakuna maongezi wababa wengine ni ukali lala huko nimechoka staili ndiyo hizo hizo hakuna maongezi, sasa hapo mtafutia hati matambara yenye tandu na siafu, kaa chini muulize tatizo nini kuwa na mchepuko sio kutatua tatizo ni kumwagia petrol maji
 
vya kufutana lol! Mkimaliza mkaogeshe, halafu humo ndani gani kuna sisimizi na michanga! Mmmh umeongeza chumvi
 
Inawezekana wewe ndiyo tatizo mkuu,labda humfikishi kilele yani unapiga fasta hata jogoo anakushinda,au kama unamfikisha basi kuna sababu nyingine.
Pia inawezekana amepata mtu wa kumgegeda vizuri zaidi yako.
Possibility kama hizo ndio zenyewe. So amchunguze... na pia amtoe out amuulize whata wrong
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaan nimecheka kwa nguvu kama tahira, looh sio kwa visa hivyo yaan hilo tambara ndio kiboko ila pole sana mkuu nami natamani ningelipata hilo tambara nimkomeshe mume wangu usiku wa leo maana kanichosha kama wewe ulivyomchosha mkeo[emoji28][emoji28]
 
Umeishi naye miaka kumi ongea naye kiutu uzima utajua kinachomtatiza.

Inawezekana hajafurahishwa na hali yako kiuchumi huu mwaka wa JPM. Vipi kipato chako hakijayumba?

Pia jiulize kama muonekano wako umebadilika sana.

Wakati mwingine tunajisahau hatufanyi mazoezi au kuwa wasafi. You should know this...ladies are more attractived to healthy men.

Jichunguze tu usione aibu. Mamsapu atakaa sawa tu
 
●"Tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu"
●"Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa imeanza kulega"

Inashangaza
 
Back
Top Bottom