Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

''Imeandikwa na mwanamke amuheshim mmeo''
Kumbuka neno la Mungu halipiti
Hapo kama hakuna mtu anamuheshim sahv bas kutakuwa kuna mienendo yako imemuuzi
 
mke wangu ajaribu kuleta nyodo hata kwa mbali mbali tu aone kama atamaliza hata siku hajafika kwao kavimba uso na talaka zote bila chenji....!!!!
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
Sio mchwa lakin?
 
Miaka 10 halafu badala ya kuongea na mkeo uulize tatizo nini unatuuliza sisi! We unachojua ni kusimamia baskeli usiku tu na kupiga pedeli mbona husemi mazuri yake pia?
 
Hapa ndo utaona kuwa mwanamke akikuchoka utajuta.
Usimuulize kitu uwe unarudi nyumbani umeshiba vizuri kwa Maria fika kulala tu.
Usiguze papuchi yake mwache, kula msimamo.
Atakuwa wa kutoka familia zile ni wasumbufu kweli.
Kama na yy anashiba kwa jafari?
 
naheshimu uhuru wako wa maoni
Ukute mkeo huyo anajibu mashambulizi kwamba ww muongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Miaka kumi??? Leo kabadilika? Ubahili wako mwanamke ndo amekuwa kama mme chakula na kila kitu yeye, ana madeni balaa wewe unamjia na minyege yako??
Samahani eti hapo mbele kuna kinjia chakutokea barabarani mm napita tu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Point hiyo pia
 
Back
Top Bottom