Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Polee anza kwa kuongea naye kwanza ujue nini hasa tatizo alafu jitahidi kua muwazi kwake na kumsihi pia awe muwazi kwako ila katika kuongea naye inabidi uwe mvumilivu kidogo pia zingatia mazingira yawe mazuri kama alivyoxema relato then ndo utajua ufanye nn baada ya hapo
shukrani ushauri mzuri mkuu
 
Kaka katika matatizo ya ndoa hilo hata katika top 1,000,000 halipo ni tatizo dogo sana hilo kaa nae uongee nae vizuri litaisha
 
hhahahah dah umenichekesha sana eti kitambaa kina sisimizi na michanga.. usimalumu, amekuchoka na stlyle zako za siku hizi yaani humuandai, we unamrukia tu na kumshindilia mshendende, rudisha stle zako za zamani, ongeza na kumlamba papuchi yake, Si mkeo!!! then kitambaa kiandae kabisa ukimaliza unamfuta nawe unajifuta.
dah kuna vitu vingine hata kuvisema ni ngumu sema hivi nilivyomwaga vinatosha
 
hhahahah dah umenichekesha sana eti kitambaa kina sisimizi na michanga.. usimalumu, amekuchoka na stlyle zako za siku hizi yaani humuandai, we unamrukia tu na kumshindilia mshendende, rudisha stle zako za zamani, ongeza na kumlamba papuchi yake, Si mkeo!!! then kitambaa kiandae kabisa ukimaliza unamfuta nawe unajifuta.
dah kuna vitu vingine hata kuvisema ni ngumu sema hivi nilivyomwaga vinatosha
 
Inawezekana wewe ndiyo tatizo mkuu,labda humfikishi kilele yani unapiga fasta hata jogoo anakushinda,au kama unamfikisha basi kuna sababu nyingine.
Pia inawezekana amepata mtu wa kumgegeda vizuri zaidi yako.
mkuu kama anataka kilele cha zaidi labda cha huo mti uliogunduliwa arusha mrefu kuliko yote barani africa lakini hiki cha mapenzi usiache nikasema kama Gadna habashi
 
Jitahid kufanya mapenzi taa ikiwa inawaka ili uone kitambaa unachopewa kisafi na pole pia
 
Kama kuna tofauti katika ndoa yenu kaeni chini mzimalize. Kuachana sio suluhisho... Unaweza ukaenda kwingine ukakutana na changamoto pia... Pole sana kwa kweli inauma uchungu!
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni

KUMBE WENZANGU MNAPEWAGA VITAMBAA, DUH, NA MSIPOPEWA MNALALAMIKA, MIMI SASA SIJAWAHI KUPEWA KITAMBAA!!!! KWA NINI USINGEKIFUATA MWENYEWE?
 
Hivi sisi wanaume tumekuwaje!?? Tunajishushia heshima sana.

Mdau, sio kila kitu kuja kushitaki kwenye mitandao ya kijamii.

Kuna mshenga, pia kama ni ndoa ya kikristo kuna wasimamizi, yaani wale walezi wa kiroho.

"Ukiishi na mwanamke, ishi naye kwa akili sana"

"Tamaa yako itakuwa juu ya mumeo, naye atakutawala... "

Usiku mwema mkuu...
afadhali useme kushikisha watu kuliko kukaa kimya ukaamua kumchinja
 
Nilikuwa nakuhurumia lakini uliposema kukulwa na sisimizi nimejikuta tu nacheka...

Usimwache, we ongea nae na ikiwezekana badilisha mahala pa kula tunda pendwa, usiku mnaweza kuoga wote huko ukapata kimoja cha pili mna malizia chumbani tena sio kitandani, kama kuna kochi chumbani mchezo umalizie hapo hapo....
Jitahidi kumuandaa vyema kabla ya mechi... Asipobadilika hapo dawa ya wanawake waijua, sikushauri ufikie huko ila ikibidi jibu unalijua
Aksante mkuu
 
Kabla sijamaliza kusoma ngoja nicheke kwanza [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nipe pole ukhuty
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaan nimecheka kwa nguvu kama tahira, looh sio kwa visa hivyo yaan hilo tambara ndio kiboko ila pole sana mkuu nami natamani ningelipata hilo tambara nimkomeshe mume wangu usiku wa leo maana kanichosha kama wewe ulivyomchosha mkeo[emoji28][emoji28]
Na mimi nahisi kanikomoa mbona yeye hakulitumia nakwambia masisimizi yamebaki vichwa kwenye mpini,ahsante mkuu mwenzangu usimfanyie
 
Umeishi naye miaka kumi ongea naye kiutu uzima utajua kinachomtatiza.

Inawezekana hajafurahishwa na hali yako kiuchumi huu mwaka wa JPM. Vipi kipato chako hakijayumba?

Pia jiulize kama muonekano wako umebadilika sana.

Wakati mwingine tunajisahau hatufanyi mazoezi au kuwa wasafi. You should know this...ladies are more attractived to healthy men.

Jichunguze tu usione aibu. Mamsapu atakaa sawa tu
ahsante sana mkuu aah uchumi hajawahi lala njaa wala kukosa kutungua kipya kiingiacho madukani
 
Back
Top Bottom