Kitu kizito kichwani: Kama mke wako ameajiriwa andika maumivu, tumeshamla

Hi!

Ngoja kwanza nianze kwa kucheka.
Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa.

Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara.

Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa tu ndio wanaogongeka kisa offer za lunch, daaaahhh

Wakisafiri kikazi ndio usiseme.
Kwa ufupi ili ufurahie maisha mke wako mfanye mama wa nyumbani kinyume na hapo kubali kila kitu, tupa wivu mbali
Nakumbuka nilifanya field ofisi flani hivi chooni walikuwa wanaweka box la ndom..

Lilikuwa halitoboi wiki.. kimsingi kama tulivyokuwa chuo amah shule wanawake ni walewale hata akiolewa anabadilika jina tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom