Kitu kipya kinakuja Iphone 8

Kwenye hiyo presentation wametaja bei ya juu ni 799 na ni kuna option ya wireless charger
 


Video hii kali zaidi. Kuna mada nilisema computer ni uchawi jamaa wakiniona mjima. Maikilizeni huyo jamaa ametumia neno magic mara ngapi kwenye presentation yake.
 
Yeee kimekuja kuna watu walibisha IPhone 8 haitoki September. Ni simu ya dola elfu.

60937ddf8439ea55673087f63010fbed.jpg
M 2.2 nikiongezea m 1.5 napata babywalker(passo) aisee!wengine tutaishia kuangalia kwa macho!
 


Video hii kali zaidi. Kuna mada nilisema computer ni uchawi jamaa wakiniona mjima. Maikilizeni huyo jamaa ametumia neno magic mara ngapi kwenye presentation yake.

Magic maana yake siyo uchawi bali mazingaombwe.
Kutojua kitu kinafanyaje kazi haimaanishi ni uchawi
 
Iphone 8 itatoka mwakini mwezi wa tisa, mwezi wa tisa mwaka huu inatoka 7s na ios 11,
Kawaida ya apple huwa wanafanya mabadiliko kidogo ya designing baada ya matoleo matatu na toleo la nne huwa na mabadiliko makubwa zaid.
Iphone 7s inakuwa na utofauti na iphone 7 kwa mtazamo japo sio mkubwa sana ila iphone 8 itakuwa tofauti zaid.
Ila performance ya iphone 8 haitakuwa na tofaut kuwa na iphone 7s, na zote zitamaliza kupokea update pamoja.
Iphone 5s na iphone 6 zinafanana kabisa kiutendaji
Iphone 6s na iphone 7 hali ni hiyo hiyo

Habari zote juu iphone 8 ni zakufikirika bado sio habar ramsi kutoka apple
We jamaa mungu anakuona,sio kwa kutudanganya huko!!! iPhone 8 na 8plus na iPhone X zote zimeshatoka!!!
 
Iphone 8 hadi mwakan mwez wa 9 natumia iphone toka iphone 3g had sasa na nimfatiliaji mvur wa update zao kwa kila device zao.
Apple soko lao aliendeshwi na sana kama soko la bidhaa zingine.
Ndio maana had leo hakuna mackbook iliyotoka touch screen ila bado wauza kwa gharama kubwa na kiwango kikubwa
Dah we jamaa ni muongo kichizi!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom