- Thread starter
- #41
ILE SIRI NI UNYAMA NA WAMESEMA WAMEIBOROSHA ZAIDI NA KUONGEZA LUGHA
Nimeisemesha Siri kiswahili ikachanganyikiwa na kunipa majibu vurugu vurugu. Nikaitukana F U ikajibu did I deserve that



ILE SIRI NI UNYAMA NA WAMESEMA WAMEIBOROSHA ZAIDI NA KUONGEZA LUGHA



kwanin iphone hazina flash ya mbele
ha ha haNimeisemesha Siri kiswahili ikachanganyikiwa na kunipa majibu vurugu vurugu. Nikaitukana F U ikajibu did I deserve that![]()
Iphone 7 inayo
Uza blackberry yako mkuuiPhone ni bonge moja ya brand ninazozielewa

Complain.....D😀😀😀😀Ngoja waje wajasiliamali watatukokotolea hiyo iphone 8 ni sawa sawa na heka ngapi za shamba la kitunguu ama tikiti😀
Kweli mkuu hakihitaji waya kabisaKitu kinakuja September na kuna ubuyu kuwa kitakuwa hakihitaji waya kuchaji.
Kweli mkuu, na mimi pia naipenda hii brand,ningependa kujua "Apple mackbook" ni bei gani duka...?Iphone 8 hadi mwakan mwez wa 9 natumia iphone toka iphone 3g had sasa na nimfatiliaji mvur wa update zao kwa kila device zao.
Apple soko lao aliendeshwi na sana kama soko la bidhaa zingine.
Ndio maana had leo hakuna mackbook iliyotoka touch screen ila bado wauza kwa gharama kubwa na kiwango kikubwa
Kweli tecnolojia iliyopo saivi ni yakuweka simu sehemu tu inajichaji yenyeweWireless charging ndio wanakuja nayo mwakani.hawa jamaa waazingua kinoma yaani.
Kweli tecnolojia iliyopo saivi ni yakuweka simu sehemu tu inajichaji yenyewe
ahahahaUza blackberry yako mkuu![]()
![]()
![]()
wasipobadilisha muundo wa 6 na 7 sinunui, labda waweke muonekano mpyaMkuu hii sio "CONCEPT" tu?Yeee kimekuja kuna watu walibisha IPhone 8 haitoki September. Ni simu ya dola elfu.
![]()
Bei Ni gani ?