Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,893
- 31,680
Wavuta bangi (Ke) wengi wanatabia hizo, kama sio tom boy basi ni malaya.Nashindwaga kuelewa wewe ni me au ke ila kama ni ke basi wewe ni tom boy maana unabet na skanka unapiga??😳😳😄
Wavuta bangi (Ke) wengi wanatabia hizo, kama sio tom boy basi ni malaya.Nashindwaga kuelewa wewe ni me au ke ila kama ni ke basi wewe ni tom boy maana unabet na skanka unapiga??😳😳😄
Hapana hizo ni kaliba za juu Sana kwenye ushirikina.. Kimoja kimebbeba uhai kingine uharibifuHii tuanzie kwenye elements ( kama maji au moto)
Ahahahahaha.Bakari Nondo
View attachment 3451372
Unajipa Raha mwnyw au sio 😎kujibaka🚶♀️🚶♀️
basi air. Kuna pastor mmoja mshezi likuwa anafanya michezo ya kijinga sasa hivi kapofuka 😅😅Hapana hizo ni kaliba za juu Sana kwenye ushirikina.. Kimoja kimebbeba uhai kingine uharibifu
Funguka mkuu😂😁😁😁 nitarudi
Nishafunguka mbona Mkuu endelea kusoma comments utaonaFunguka mkuu😂
Nishafunguka mbona Mkuu endelea kusoma comments utaona
Umeamua uifungulie na uzi kabisa , kweli umeikumbuka 😅Naweza lakini sio moja kwa moja
Kama hapa mara ya mwisho nilivuta mwaka jana mwezi wa 9,leo siku nzima nilikuwa naifikiria
Afu night clubs saiv usikalili kama ilivyo zamani vile maisha club au pale billcanas kufungiwa ndani saiv ni kisasa zaidi mnakuwa open space ila ni night clubsWapi huko kuna night clubs mpaka sasa?
Dah Hii naona tupo pamoja, movie nikiielewa sana nafatilia Kila kitu naenda hadi YouTube kuangalia behind the scenes 😂2. Ku google waigizaji wa series/movie pale inapoisha
Na kweliHi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?
😅😅 nilijua nipo peke yanguDah Hii naona tupo pamoja, movie nikiielewa sana nafatilia Kila kitu naenda hadi YouTube kuangalia behind the scenes 😂
Hakii😂Jamani 😂😂
Umemaliza mkuuBakari Nondo
View attachment 3451372