Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

Huo ndio ukweli. Na wengi pia huwa wanafanya makosa hapo, unakuta alienda kwa malaya kula bata anaingiza huruma anapigwa tukio, malaya hawaolewe.. Wanao olewa ni wake ( wife material).. Vijana siku hizi wanapenda sana malaya na kuoa ndio maana unasikia milio mingi kwenye ndoa zao
Sina mengi ya kusema maana mi ninachojua mapenzi ni kama kuyapatia maisha,no formula
 
Back
Top Bottom