Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Huyo mwalimu wako anayekula zaid ya sh 3000 amefanya nin in world of technologyMwalimu wangu Dokta George aliniambia huwezi kuwa na akili timamu kama unakula chakula cha chini ya Tsh. 3000 kwa mlo mmoja.
Na alisisitiza kabisa, aina ya vyakula tunayotumia ina direct impact na uwezo wetu wa kufikiri.