Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

Sea Beast kwa mfano kwenye kununua Twitter, wivu ulimfanya ainunue akijua labda kina Jack wanapata hela sana.Kaingia mkenge,matokeo yake akapunguza wafanyakazi na ikabidi aanze kuuza blue tick.Jamaa siku akishuka utajiri hadi no 10 huko ninahisi atachanganyikiwa.
 
Minaona Kama kanunua ili awe na Power hasa ukizingatia hayupo kwenye Social nyengine ambazo Ni za mbaya wake kaona amiliki kabisa Social ila kwa kuingiza faida social si sehemu sahihi especially Twitter haipo kibiashara kabisa uki compare na META Kids, Social kipato Cha uhakika kwenye Tech Kama Nyumba za kupangisha ila faida ndogo ukilinganisha na Tech Niche nyengine
 
Milo kamili? ita athirije uchumi wangu?
Wewe kama unakula ugali na dagaa mchele ukishushia na maji ya bomba sahau kuwa kama Elon Musk. Ninakushauri anza taratibu kwanza ufike level ya Sholo Mwamba au Mr Blue. Ukivuka hiyo level ndo upambane ufike level ya kina Vunjabei.
 
Hakuna kinachoweza kukuzuia kama utakuwa na discipline kwenye unachokifanya,soma kuhusu discipline katika mafanikio,au soma kitabu cha poor dad/ rich dad kama upo vizuri kwenye kingereza au soma vitabu vyaa Joel Nanauka Ameandika vitu vya msingi Sana na kiufupi ukiweza kuviishi basi after 10 years insha'Allah you'll be like/more than Elon Musk.
Kwanini Joel Nanauka asiishi kwenye alichoandika?
 
Kingine kufanikiwa kwenye Tech kubuni solution inayohitajika sio kuwa Fundi wa Code Mange kimambi anaingiza pesa nyingi kwa App ambayo hata UX/UI yake iko hovyo ila Traffic yakushato na Mange wala sio Developer.
Aise
So kweli hio Ni kipindi Web 2 inaanza rise tu ila baadae mpaka Sasa waliofanikiwa wengi ni non technical broz hata kwa ecosystem ya Tz Startup zinazofanya vizuri Founder sio Coder mfano Benjamin was NALA, Kuna dogo ana startup yake ya Fintech anai push vizuri mwaka huu amepata Fund ya 100M sio Coder, Kuna jamaa mwengine namjua sio Coder nae Fintech, zipo startup hata digita product nyengine Founder sio Coder.

Uwezekano wa Coder kufanikiwa kibiashara mgumu kwasababu always wengi wanakuwa interested ya kuona Codes tu zina flow kwenye laptop zao Hobby yao kuona Code zinaleta uhai wa wazo na si kuanza kukomaa na kuendesha kitu.
Haya, ngoja tuone
 
Karibia wote walio success kwenye Tech industry wali code product zao wenyewe hata iyo FB ali code mwenyewe.

Watu wengi hua wanadhani programming ni rahisi
Jack Mma haja code.Ni engilsh teacher na ana leadership skills za kutosha.
 
Habari Wana jf

Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami sikuchelewa nikafuta account ya Facebook na Instagram
👉Elon Musk pia wakati anasimulia kuhusu story yake ya Maisha alisema at 13 alikuwa amejifunza coding lakini pia alikuwa anaweza kutengeneza application hapa nikapishana nae.
👉Kinacho ni inspire zaidi ni kwamba Elon ni kijana wa kiafrika tu from South Africa aliyesoma physics akaielewa.

Basi niambieni ni kitu gani kitanizuia Mimi kuwa Kama Elon Musk miaka 10 baadaye
Hakuna cha kukuzuwia isipokuwa fikra zako tu. Go for it.
 
Sea Beast kwa mfano kwenye kununua Twitter, wivu ulimfanya ainunue akijua labda kina Jack wanapata hela sana.Kaingia mkenge,matokeo yake akapunguza wafanyakazi na ikabidi aanze kuuza blue tick.Jamaa siku akishuka utajiri hadi no 10 huko ninahisi atachanganyikiwa.
Elon musk hatashuka utajiri kulingana na wachambuzi mbalimbali. Yule hauzi
Maembe yanayoooza.
Elon atabaki mjini na kuwa trilionea kwa zile technolojia anazowekeza. Akifanikisha safari za mass au deep space haji kufilisika ng'o.
Ili umtoe musk uje na technolojia mpya.
Mwamba amejiweka ktk kila aina ya technolojia unauoijua wewe.
Kuanzia usafiri ardhini, anga, mawasiliano, elimu, Robots,software, media nk.
Mfumo wake wa elimu anaoubuni ukifanikiwa ndio itakuwa future of education system in the world.
Mfuatilieni kwa undani huyu jamaa ni tofauti na matajiri unaowajua kama Bill gate au Zuckerberg.
Anajiita general scientist, hii ina maana anajua kila kitu na anafanya vingi wakati akina Bill wao ni specialized scientist.
Atafilisika kaburini sio duniani.
 
Hakuna cha kukuzuwia isipokuwa fikra zako tu. Go for it.
Ana akili kama ya Musk ? Magnetic memory au photographic memory?
Anaweza kusoma kitabu tu na kutafsiri yale aliyosoma kwa vitendo.
Mfano asome kitabu cha jinsi ya kuunda injini ta gari la umeme au software halafu aanzishe hizo project bila kusoma vyuoni au kupata uzoefu kiwandani.
Kama ana hio bahati basi atakuwa Musk maana hio ni Gifted brain!
Naona mnamoa moyo, ni vizuri kuliko kumjayisha tamaa.
 
Elon musk hatashuka utajiri kulingana na wachambuzi mbalimbali. Yule hauzi
Maembe yanayoooza.
Elon atabaki mjini na kuwa trilionea kwa zile technolojia anazowekeza. Akifanikisha safari za mass au deep space haji kufilisika ng'o.
Ili umtoe musk uje na technolojia mpya.
Mwamba amejiweka ktk kila aina ya technolojia unauoijua wewe.
Kuanzia usafiri ardhini, anga, mawasiliano, elimu, Robots,software, media nk.
Mfumo wake wa elimu anaoubuni ukifanikiwa ndio itakuwa future of education system in the world.
Mfuatilieni kwa undani huyu jamaa ni tofauti na matajiri unaowajua kama Bill gate au Zuckerberg.
Anajiita general scientist, hii ina maana anajua kila kitu na anafanya vingi wakati akina Bill wao ni specialized scientist.
Atafilisika kaburini sio duniani.
Deep sea ,Mars huko ni ndoto.Hawezi fanikisha.
 
Minaona Kama kanunua ili awe na Power hasa ukizingatia hayupo kwenye Social nyengine ambazo Ni za mbaya wake kaona amiliki kabisa Social ila kwa kuingiza faida social si sehemu sahihi especially Twitter haipo kibiashara kabisa uki compare na META Kids, Social kipato Cha uhakika kwenye Tech Kama Nyumba za kupangisha ila faida ndogo ukilinganisha na Tech Niche nyengine
Kuna interview Alisema kainunua Twitter ili awaokoe vijana kutokana na addiction ya kutumia mitandao kwa mda mrefu ndio maana ameweka limit ya twit mtu anazoweza kuziona kwa siku na kuuza blue tick na kitu cha kwanza anachotajia kufanya akija kununua Twitter au snapchat ataondoa filter kwenye mitandao hyo.
 
Back
Top Bottom