Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

Kwanini Joel Nanauka asiishi kwenye alichoandika?
Well swali zuri na siku sio nyingi nita andika kuhusu Hilo,Ila Kwa kifupi ni kwamba sio kila mwenye ujuzi basi anaweza kuutumia,hawa writers pamoja na motivational speakers sio kwamba wanacho ongea au kuandika ni uongo Ila kwamba NI vigumu MTU kuyaishi Kwa sababu ingekuwa rahisi kila Mtu angeishi,hawa ni sawa na mwalimu wa uchumi anaefundisha uchumi lakini yeye mwenyewe hali yake kiuchumi IPO chini,sio Kwamba anachofundisha ni uongo, mchungaji WA dini ambae anahuburi kuhusu maswala ya Mungu Ila bado anatenda kinyume, haimanishi kwamba anachohubiri ni cha uongo, la Ila si rahisi kuishi vile anavyohubiri.
Kwa concept hii naamini nitakuwa nimekujibu.
Naomba KUWASILISHA 😁
 
Umeandika points tupu.
 
Kwa hio yeye haupendi utajiri?
Sema tu motivation speaker ni career kama career nyingine.
Kwa kifupi amejiajiri tu kama dokta au mwalimu japobhakuna kozi zao ni ujanja ujanja tu.
Asilimia kubwa ya motivational speaker hasa wa bongo wanaiga tu kutoka kwenye vitabu vya wazungu.
Wazungu hufanya tafiti ndio kuandika kitabu.
Mfano Napolean Hill aliwahoji matajiri wengi. Mfano ktk kitabu cha Napoleon kisa cha "one meter from the Gold " Ni cha ukweli alisimuliwa na mtu akakiandika.
Kina nanauke ni chiriku tu kama walimu, hakuna walichotafiti hivyo hawawezi kuwa matajiri kwa sababu vitabu vyao sio "Best selling books" ! Wenzao akina Zig zigler ni "best seller" books hivyo wanatajirika.
 
Unaweza kuwa shihihi kwa hicho unachokisema lakini don't you know kuwa hata kusoma vitabu ni sehemu ya utafiti?
or got to remember that motivational speaking iwe ni caeer or not,uwe ameiga kutoka kwa mzungu it's okay as long as kile anachokizungumza ni sahihi basi tunamsikiliza na kuyachukua yale aliyoyazungumza.
Kiufupi ni kwamba motivational speaker wanafnaya kazi ya ziada ya kuwaelimisha watu na kuwapa motisha,binafsi nawapongeza.
Kwa lugha za vijana mtaani niseme ' 'baadhi ya motivational speaker wapewe maua yao''
 
Mi huwa siwasikilizi maana hawana tofauti na wachungaji kwa kushindwa kukiishi kile wanachohubiri.
Mim namsikiliza MOE,Jack Ma, Elon, Mark, Al marh Mazrui, nk maana wamepitia mambo halisi wanayohubiri sio hao hata milioni200 hana ananihubiria nini? Kupata milioji 10,20 50 nahitaji kuhuburiwa!
Bora uwasikilize walio win wa mtaani kwako kuliko hadithi, hadithi uongo njoo palitokea tajiri mmoja alifanya....akawa tajiri.
 
Kwahio unamaikiliza Elon na Mo ambe hawaijui shida wala njaa inafananaje wamekuta pesa
 
Kwa sababu wanatenda wanavyovisimulia.
Namsikilizaje mtu ambae hajatenda anavyovisimulia hizo si sawa na hadithi za kusadikika.
Mfano Moe anasema utajiri wake kaupata kwenye kilimo ikiwa kulima malighafi na kusindika. Je huo ni uongo.
Mtu hajawahi kuajili wafanyakazi hata 1000 halafu anipe mbinu za biashara, inaingia akilini kweli! Ndo maana hatuendelei .
Unataka kuwa Raisi unaenda kusoma vitabu vya wahamasishaji wasiopitua uraisi kwa nini? Wakati wapo maraisi wameandika vitabu .
Donald Trump katika kitabu chake cha "How to be Rich" . Ameeleza kwamba yeye husoma biograph za wale watu waliofanikiwa, hasomi tu kitabu for the sake of reading a book, nafikiri unaelewa trump ana maanisha nini.
 
Elon na Mo wamezaliwa wamekuta zaidi ya Billion 100 kwao walichifanya wao ni kuikuza tu wewe umekutana na ngapi ya kuikuza wewe inatakiwa ujifunze kwa mtu aliyetoka Zero kutika Billion 1 nakiendelea huko Sasa ukisema ujifunzi kwa Nanauka then unataja Mo yaleyale tu Mo ukimuweka hapa Gongolamboto Hana ata shillingi kumi umwambie atoke Happ zero mpaka billion huku wategemezi wakimuangalia ukirudi Mwezi utakuta kashadata so angalia hoja yako
 
Cha kwanza ni sera za kiuchumi kwenye nchi husika

Pili sera kwa wabunifu kwa hapa hazieleweki, unakuta mtu kagundua kitu, badala ya kumuendeleza, unasikia kakamatwa mara kachimbwa biti mara mamlaka flani ina mpa maagizo yasiyo eleweka

Kuna jamaa wamepiga tukio crdb matokeo yake wameburutwa mahakamani na pesa yenyewe ya mbuzi, ningekua huko crdb hao ndio ningewaweka kitengo cha ulinzi wa mfumo wa taasisi, kuna aliegundua umeme wa sumaku sijui aliishia wapi na gharama yake ni nafuu kuliko tanzagiza, kuna walio tengeneza mpaka vituo vya redio kienyeji lakini wapi
 
Mimi nilikuwa ninamfuatilia,ila nilipojua yupo dhaifu sana ,simfuatilii tena.Kuna kipindi alisema anatoka Twitter yaani anafuta page yake,akafuta baada ya masaa akarudi tena.Kwenye kutengeneza utajiri yupo vizuri.Huwa anakurupuka pia ,kuna kile kipindi aliwafutia watu blue tick hadi walipie,mara wenye followers kuanzia million akawarudishia tena.Ni kama dishi lake limeyumba kidogo.
Hiyo ni kawaida kwa ma genius mkuu.
 
Back
Top Bottom