Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Habari Wana jf

Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami sikuchelewa nikafuta account ya Facebook na Instagram
👉Elon Musk pia wakati anasimulia kuhusu story yake ya Maisha alisema at 13 alikuwa amejifunza coding lakini pia alikuwa anaweza kutengeneza application hapa nikapishana nae.
👉Kinacho ni inspire zaidi ni kwamba Elon ni kijana wa kiafrika tu from South Africa aliyesoma physics akaielewa.

Basi niambieni ni kitu gani kitanizuia Mimi kuwa Kama Elon Musk miaka 10 baadaye
 
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu.
Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

Elon Musk amekuwa Elon Musk kwa kujikubali kama Elon Musk.

Wewe unataka kuwa carbon copy ya Elon Musk?

Unajua mwenzako mgonjwa yule? Na wewe utajipa ugonjwa wake ili uwe kama yeye?

Elon Musk mzungu yule, na hayo mafanikio yake hata huko South Africa na Marekani bila privilege ya uzungu asingeyapata, na wewe utajibadili uwe mzungu?
 
Ugonjwa hiyo ni personal issues tuzungumzie jitihada zake.
Angalia Anord schwaniga na watu wengine successful walikua na ma role model so hiyo sio kesi
 
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu.
Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami sikuchelewa nikafuta account ya Facebook na Instagram
👉Elon Musk pia wakati anasimulia kuhusu story yake ya Maisha alisema at 13 alikuwa amejifunza coding lakini pia alikuwa anaweza kutengeneza application hapa nikapishana nae.
👉Kinacho ni inspire zaidi ni kwamba Elon ni kijana wa kiafrika tu from South Africa aliyesoma physics akaielewa.
Basi niambieni ni kitu gani kitanizuia Mimi kuwa Kama Elon Musk miaka 10 baadaye
Kitakachokuzuia? Uafrika wako na limited resources.

Ukweli ni kuwa, kuna aina ya mambo tunakwama kwa sababu tu sisi ni Waafrika. Kuzaliwa tu Tanzania, tayari ushakuwa limited to a bunch of resources.

Mwenzako alitimkia US mapema sana. Angeendelea kubaki katika bara la giza, asingelikuwa hapo. I'm 100% sure.

Daima huwezi kuwa Elon.
 
Ukiambiwa ugonjwa wake umechangia kumfanya awe alivyo, na wewe huna huo ugonjwa, utautaka huo ugonjwa?

Elon Musk mzungu yule, na hayo mafanikio yake hata huko South Africa na Marekani bila privilege ya uzungu asingeyapata, na wewe utajibadili uwe mzungu?
 
Kitakachokuzuia? Uafrika wako na limited resources.

Ukweli ni kuwa, kuna aina ya mambo tunakwama kwa sababu tu sisi ni Waafrika. Kuzaliwa tu Tanzania, tayari ushakuwa limited to a bunch of resources.

Mwenzako alitimkia US mapema sana. Angeendelea kubaki katika bara la giza, asingelikuwa hapo. I'm 100% sure.

Daima huwezi kuwa Elon.
unaweza kuwa ukweli mchungu huu
 
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu.
Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami sikuchelewa nikafuta account ya Facebook na Instagram
👉Elon Musk pia wakati anasimulia kuhusu story yake ya Maisha alisema at 13 alikuwa amejifunza coding lakini pia alikuwa anaweza kutengeneza application hapa nikapishana nae.
👉Kinacho ni inspire zaidi ni kwamba Elon ni kijana wa kiafrika tu from South Africa aliyesoma physics akaielewa.
Basi niambieni ni kitu gani kitanizuia Mimi kuwa Kama Elon Musk miaka 10 baadaye
In reality akizaliwa Afrika na makaburu. Si mwafrika yule
 
Elon Musk kwenye chuo kikuu cha Pretoria alifanya aptitude test akiwa na miaka 17 akapata marks za juu sana mpaka IBM wenye mtihani ule kutoka UK sijui USA wakaagiza arudie tena mtihani. Wewe uliwahi fanyishwa mtihani na foreigners wakataka urudie?
Elon-Musk-University-of-Pretoria.jpg
 
USA is a land of opportunities yaani dream land.
Ukiwa kule ndoto yako unazitumiza kwa sababu kizazi kilichopita kilishatengeneza mifumo ya kiuchumi ya watu wao kutimiza ndoto zao.Mtu tangu anazaliwa hadi anakufa tayari Pana mifumo upite wapi umalizie wapi.
Tofaut na sisi draw back vikwazo ni vingi hadi utoboe we ni men,huku watawala wameseti mfumo wafanikiwe wachache wengi wabakie kwenye umasikini acha na hizi slogan sijui kilimo kwanza, sijui haki sawa,fursa sawa hizi ni slogan za kwenye makaratasi.
Kule kazi ya mkulima Sio kuwaza soko, anaetaka kusoma sijui kuwaza ada nk tayari Wana mifumo ni wewe tu ufuate upi kutimiza ndoto yako.
Labda tu kama wakoloni wangeendelea kuwepo labda maana wao walikuwa na mifumo mizuri hata kwa baada ya uhuru tusingeitupa.
 
Back
Top Bottom