Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

tulioana kijeshi maana alikuja akakaa wiki hlf akapotea.
kumbe alienda kwao.
alivyorudi akaja na vitu vyake vingi. ile mara ya kwanza vilikuwa vichache. apo kumbuka hatujaoana.
ule mwezi haukuisha tukawapokea wadogo zake 2 na mamkwe.
Leo apa naandika imeshapita miaka 5. apo kumbuka hatujaoana.
ivi ulisema wenye ndoa ndo wasimulie?
Kwa Sheria zetu tukufu huyo ni mkeo tayari.....😄😄😄😄
 
Wizo kumbe hogo la Kantre kuna muda linalala DORO?? 😱😱😱

Akii bora extro wangu muda wote chuma ni ya moto.... 😍😍😍😍🥰🥰 chuma ya doshi Extrovert
Wizo unazingua bana.!! 🤣🤣🤣🤣
Em edit hapo ulipotaja jina la K atakuja kukuchamba mi sikutetei unamjua lakini!!!

Ww endelea kuenjoy hogo la cazee kwa raha zako, vipi ndoa yenu lini?? 😂😂😂
 
we ni udugu wangu my wangu hadi kifo kitutenganisheee, ntakualika uje kanisa la ST PETERS uonge tunavyobarikiwa na KADINALI PENGO 🥰🥰
Oyooooooo.!! Wizo ake nakupetraaaje sasa!! Utanouga na shela lako jeupeeeee..!! Huku pembeni ext na suit yake pambe kabisaaaa.!!

Nyie mie sitaki hiyo siku mbona mtaiteka Dar nzima itazizima.!! Harusi moja tyuu ya wizo bichwa na cazeee ext 😂😂😂😂😂
 
Sidhani kama kuna kipya hasa kwa mtu ambaye mmekua kwenye mahusiano toka sekondari,mkakutana chuo,mkapanga chumba kimoja,mkawa mnaishi kama mke na mume,miaka mitatu au zaidi,halafu mje muoane,sidhani kama kuna kipya.
 
Back
Top Bottom