Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Aah wapi mkuu, hata ukiamua kila siku, kuna siku yeye hana mood kabisa, sio vizuri kufosi mambo, kuna siku unarudi home na stress kibao..Acha tu!
Daaah yaaan umeongea kwa hisia sana mkuu ..
Wewe kweli una experience kabisa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mimi nilijua mkioana kile kiapo cha pale madhabahuni ndo maishaa mtakayoishii ile kupendana kweli,kuvumilianaa kutokusalitianaa weeeh nmeingiaa chamoto nmekionaa kuna watu jamani hawakiogopi kile kiapoo.!me nakiogopaa na namshkuru Mungu mwaka wa sita huuu nakiishii kila nikiwaza kukiendea kinyumee napata hofu moja kali sanaa.!
 
Kwann mahi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dihaaa ww unataka kila siku?imekuwa food hiyo?😁😁ila ndoa mmmmh week inaweza kata bila bila bt nilochogundua hata kwenye uchumba si mpo mbalimbali so hamkulani kila siku bt i don know why mtu unakuwa unawaza mkioana mtakuwa mnakulana daily cjui coz ile mnakuwa mnalala wote kila siku.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio nataka kila siku sitaki tuishi km mi dada ake.!!
 
Back
Top Bottom