Mr Kactus
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 510
- 2,971
Alinikera sana lkn nadhani kipindi kile nilikua kipofu wa penzi lake... Akili ilinikaa sawa tulipoachanaDuh hukupata hasira mkuu?
Alinikera sana lkn nadhani kipindi kile nilikua kipofu wa penzi lake... Akili ilinikaa sawa tulipoachanaDuh hukupata hasira mkuu?
Nimemtafuna sana, lkn mara zote ni mpaka awe na hamu yeye, nikiwa na ugwadu unakuta anakaza naishia kujichukulia sheria mkononi tuUliwahi kumtafuna??.
[emoji28][emoji28][emoji28] ukishatoa, flash mkuu. Acha iendeLile li dem nililionga ka goroka ka tecno ka 27k mbaya zaidi adi leo najuta kipindi namkabidhi getto Kuna ka toto kapisi ka jirani kaliingia getto bila kubisha odi kalikua kananiletea juice ya embe nikazuga uku nikijiongelesha .. ndo uache kutumia sim ya Bibi kuanzia leo Niki target ile pisi ijue kua mimi na hii manzi Ni ndugu .. na kweli Dem alikua anatumia sim ya Bibi yake so nikaua ndege wawili kwa jiwe moja ..
Picha linaanza nikaomba mzigo Dem hajui lolote Yani Ni zero kwa bed nikiweka tu linatetetma Kama mayele lina ruka ruka tu yan vurugu mara litoke kwa bed likae kwa Coach hovyoo kabisa mara lilale Kama limzoga nilipata hasira nikalitoa nduki.
Kesho yake asubui ka c ster kangu kananitumia text Kaka niletee kale ka sim kako kadogo sim yangu kio kimevuja ..
Nilipata hasira .. mpaka leo Dem akiniomba kitu hua nacheka kwa dharau .. imeisha iyoo ..
Embe mkuu? [emoji28][emoji28][emoji28]Kuna demu nilimununulia embe la 500tsh, nikampa namba yangu anitafute.
Mshenzi yule hajawahi kunitafuta mpaka leo hii.
Wengine wote huwa nawapa kwa moyo mmoja.
Kama hela ipo unatoa tuHawa watu wanatupiga sana sijui tufanyaje.View attachment 2196140
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Leo tutatukanwa na kuitwa majina yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu mbwa Yule afu tukagombana kama week mbele kile kimanzi kilinila shot sana
Mkwe nitumie na ya kutolea tafadhali, kwa moyo mkunjufu kabisa.Huwa hatuhongi bali tunawapa kwa moyo mkunjufu...
Mimi tu ndio sipewi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji15]Sijawahi kuhonga, natoa kwa upendo tu. Kama sina basi tena. Sema nikihesabu hizo "change" za kuanzia 10k hadi 500k sijui ningekuwa wapi leo[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati wa kupeleka watoto shule, tunasitisha kutoa kwa upendo!!!Mimi tu ndio sipewi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji15]
Hapo kwenye kuvimba kwa kitumbua chake, umetupiga na kitu kizito kichwani.Laki na ishirini lakini ile hela nilihakikisha naitendea haki maana nilimfumua tumbua lake hadi lilivimba qudadadadeqqqq zake!
Kwanini husinge jiongeza mkuu ungechelewa kurud ili alipie bill mwenyewe unajua ukiwa na mpenzi na ukishamjua ni kimbelembele husipende kwendanae outAcha tuu mzeya....tumeenda kweye mall siku hiyo nikasema ngoja nimtreat single mama huyu....alasema mie nataktakuingia hii make up shop. Nikamwmbia wee ingia hapo wacha mie nikapige mosele mingine....toba yalaaa narusi sii ndio nakunana na bill ya laki nne kasoro.
Nipo naye wapi nilishapiga chini
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati wa kupeleka watoto shule, tunasitisha kutoa kwa upendo!!!
Hapo Sawa.Nimemtafuna sana, lkn mara zote ni mpaka awe na hamu yeye, nikiwa na ugwadu unakuta anakaza naishia kujichukulia sheria mkononi tu
Mzeya tumetoka kupeana utamu alafu mpaka wakati huo she was very sensible.Kwanini husinge jiongeza mkuu ungechelewa kurud ili alipie bill mwenyewe unajua ukiwa na mpenzi na ukishamjua ni kimbelembele husipende kwendanae out
Sent using Jamii Forums mobile app