Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Nimeingiza post hizi mbili,ndani ya Uzi huo,kuhusu problems za hii F 35,wanajifanya hawazioni.Kuna uzi upo jamaa amekomalia kweli kweli kwamba waarabu watasubiri sana maana F-35 stealth za Israel zinafanya kazi.