Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

India nao Wako smart sana katika kutafuta technology, hawana mchezo kwa hilo.
Hii joint work ipo katika research and development ya hiyo Sukhoi FGFA/PMF ni derivative ya T-50 ndio mana hata rahisi kuchanganya ukifikiri ni moja.
Walisign cooperation agreement kuanzia 2007 na wanaproject nyingi tu wanashirikiana sio fighter jet pekee.
juzi india wamerusha satelite 20 kwa mpigo kwenda anga za juu,nao wanakuja kasi sana,aircraftcarrier yao iko tayari na nyingine iko kwenye pipeline,nadhani india nao itakuwa ni taifa teule kwa mungu wao Budha
 
Mr elungata huwezi ifananisha ndege yoyote ya kivita na f-22 raptor iwe ni katika ground attacks au dogfight,yaani hata hizo sukhoi na f-35 inasubir ikiwa na mwendo kasi mara mbili ya ule wa sauti na teknolojia ya kujificha huwezi ishinda
weka specification basi,kama ni mbio kuna ndege ni supersonic speed kuizidi,inafanya kipi cha ajabu kuzidi ndege zingine,
nasikia ilijaribishiwa syria mbona haijampata al Baggy Daddy mpaka saa hii?
 
juzi india wamerusha satelite 20 kwa mpigo kwenda anga za juu,nao wanakuja kasi sana,aircraftcarrier yao iko tayari na nyingine iko kwenye pipeline,nadhani india nao itakuwa ni taifa teule kwa mungu wao Budha

Umenichekesha sana sentensi yako ya mwisho, hivi sijui ni nani anaye brainwash fikra za baadhi ya watu kiasi hiki.
 
Kwa upeo wangu nnavyoona hayo masilaha yote mataifa makubwa yanayotengeneza ndio kifo chao sababu Kwa mfano NATO ni muunganiko wa nchi nyingi za ulaya pamoja na America Russia ni kama yuko mwenyewe tension kubwa iliyoko ni kati ya NATO na Russia wote wana manuclear na masilaha kibao ya maangamizi including biological weapons kitachofuata mwisho wa hii tension ni vita kubwa ambapo nchi zote zilizo karibu na Russia nikimaanisha ulaya zitaangamia sababu Russia hatakubali kuangamia peke yake also Russia anauwezo wa kufikisha vita Marekani so hawa mwisho wa siku watauana wenyewe alafu dola nyingine zitarise na nchi kama Israel itakuwa mashakani sana.
NI MTAZAMO TU
 
Unapoteza Muda na kuwa na wivu wa kike.
Mungu ibariki Israel uzao wa Yakobo!
Naona ushakali kaa la moto, haya we mwenye wivu wa kishoga, hao waisraeli washakusaidia nini mpaka sasa, Hivi kwanza umeishia std ngapi!?? Coz unaeza kuwa wale wale aliowafukuza Mr President kuleeee
 
Kwa upeo wangu nnavyoona hayo masilaha yote mataifa makubwa yanayotengeneza ndio kifo chao sababu Kwa mfano NATO ni muunganiko wa nchi nyingi za ulaya pamoja na America Russia ni kama yuko mwenyewe tension kubwa iliyoko ni kati ya NATO na Russia wote wana manuclear na masilaha kibao ya maangamizi including biological weapons kitachofuata mwisho wa hii tension ni vita kubwa ambapo nchi zote zilizo karibu na Russia nikimaanisha ulaya zitaangamia sababu Russia hatakubali kuangamia peke yake also Russia anauwezo wa kufikisha vita Marekani so hawa mwisho wa siku watauana wenyewe alafu dola nyingine zitarise na nchi kama Israel itakuwa mashakani sana.
NI MTAZAMO TU
Ambao una kaukweli flani hivi
 
Wanajeshi wetu wataiba lini hii teknolojia na kuimodify ili kutengeneza Stealth F-40? Ili tuwe mbele ya kila nchi?
 
Iron Dome, reality:

This comment:
Jermy Hinks3 weeks ago
It's very simple. The Palestinains (and the rest of the Arab world; even thou they have SO MUCH MONEY) - invest in Terror & Curropt power; while Israel invest in Knowledge, Technology and the people (see "Iron Dome").

Where are we investing?
 
Naweza kuisoma wapi.??
Ingia YouTube tafuta documentary moja ya jamaa wawili mmoja muisrael wanafanya interview juu ya kitabu Chao Kuhusu activity za mossad na Israel spy network.

Humo utagundua waisrael spy wao unakuta mtu mmoja anammajina kama kumi ya karibu kila taifa. Utajua spy wakiarabu weñgi waliyokea Argentina ili kufuta I'd zao isionekane ni waisrael. Kuna wengine walipenya hadi kuwa mabest friends Wa wake Wa marais na watu wenye huaminiwa na kuheshimiwa ktk nchi maadui Wa Israel. Wengine walikuwa viongozi wakisafiri kuvujisha mipango ya Waarabu Israel. Kulipuliwa ndege za Waarabu haikuwa miujiza.
Pia mtafute Moshe Diane jamaa anachongo, alivyowafundisha Wamisri adabu. Aliwahi kupiga vifaru Saba vya Syria akiwa na kifaru kimoja.
 
Back
Top Bottom