said kikaa
Senior Member
- Aug 7, 2012
- 108
- 23
nape kagonga mwamba kwenye nini?
Kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?
Katibu wa chadema kaonyesha kishindo kwenye nini?
siasa.
nape kagonga mwamba kwenye nini?
Kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?
Katibu wa chadema kaonyesha kishindo kwenye nini?
hivi ukiwa na basi,halafu akaingia abiria kabeba begi,kakupa umeliweka kwenye buti,baadae linagudulika lina meno ya tembo.anayefanya ujangili atakuwa ni mwenye basi?au twiga walivyopelekwa nje,wa kulaumiwa ni mwenye ndege?au mfano ukikamata madawa ya kulevya yaliyosafirisha na british airways kwa mfano;anaefanya biashara hiyo ni meneja wa shirika husika?Ndiyo hayo hayo, nisawa na kusema hujaiba ila kitu cha wizi kimekutwa kwako. Kisheria wewe ni mwizi tu unless utuambie sasa umekipatapataje. Kinana hajafanya hivyo hadi sasa, nilitegemea polisi ingemkamata Kinana na kumweka ndani ili aeleze huo mzigo wa meno aliupokea kutoka kwa nani, ila kwa vile polisi inajua mzigo huo ni wa mwenye kampuni, hadi leo hawajajigusa.
Nape kagonga mwamba kwenye nini?
Kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?
Katibu wa CHADEMA kaonyesha kishindo kwenye nini?
hata kemikal ali alisema iraq haijavamiwa
he!he!he! he! siasa bwana!Povu la nini? gamba linauma nini!
Mfano wako unaweza tu ukawa valid kama hujui utaratibu wa kusafirisha mizigo bandarin na kwenye ndege. Je unafahamu kuwa ndiye anayeshughulika na mzigo wa mteja baada ya kukabidhiwa hadi unaingizwa kwenye meli au kwenye ndege??? Tofauti na kwenye Basi ambapo mtu anaingia na kifurushi chake tena kwenye mabasi huwa wanaandika kabisa weka mzigo at your own risk, haipo hivyo kwenye Meli wala ndege. Kwenye meli na ndege itafahamika tu mzigo ni wa nani. Sasa wakati agent amekabidhiwa mzigo na mteja, agent atatakiwa ahakikishe kuwa exportation procedures bandarini na uwanjani zimekamilika kabla mzigo haujaingizwa kwenye vessel, this includes tax payments.hivi ukiwa na basi,halafu akaingia abiria kabeba begi,kakupa umeliweka kwenye buti,baadae linagudulika lina meno ya tembo.anayefanya ujangili atakuwa ni mwenye basi?au twiga walivyopelekwa nje,wa kulaumiwa ni mwenye ndege?au mfano ukikamata madawa ya kulevya yaliyosafirisha na british airways kwa mfano;anaefanya biashara hiyo ni meneja wa shirika husika?
hapa nimekubaliana na wewe mkuu.umetoa hoja za kitaalam mno.nimekubali kwamba hapa msafirishaji naye anapaswa kutoa maelezo yaliyonyooka vinginevyo abanwe.Mfano wako unaweza tu ukawa valid kama hujui utaratibu wa kusafirisha mizigo bandarin na kwenye ndege. Unajua agent kuwa ndiye anayeshughulika na mzigo wa mteja baada ya kukabidhiwa hadi unaingizwa kwenye meli??? Tofauti na basi ambapo mtu anaingia na kifurushi chake a tena huwa wanaandika kabisa weka mzigo at your own risk, haipo hivyo kwenye Meli wala ndege. Sasa wakati agent amekabidhiwa mzigo na mteja, agent atatakiwa kumake sure kuwa exportation procedures bandarini zimekamilika, this includes tax payments.
Sasa hapa kwenye tax walipitapitaje maana ni lazma mtoza kodi ajiridhishe kuwa anatoka kodi kitu gani. Kama hatua hiyo ilipita kimagumashi, doubt inaanzia hapo. Swali nililoliraise mwanzo ni kwamba, kwa kuzingatia mchakato uliopo pale bandarin, ni vigumu sana kampuni kusema ilikuwa haijui ni kitu gan kimebebwa kwenye lile container, aither nikasema kikawaida, ilibid kampuni ya Kinana iwasaidie polisi, Yoooooooooooooote haya hayajafanyika. Hivi hapo ni hadi uchanjwe ndo utajua kuwa kampuni hiyo pia inahusika kwenye ujangili????Au kaka umepoteza ufahamu kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa??? Ukitaka kuielea hii scenario vizuri ni wewe uwe umeibiwa mali yako afu imesafirishwa kwenda ng'ambo afu huko ng'ambo ikakamatwa. Nadhan utajua tu ni wapi pa kuanzia uchunguzi, sasa hivi unajifanya hujui vile ni mali ya watanzania imeibiwa, na hii ndo tue clour ya wana CCM, chama mmekiweka mbele kuliko nchi.
CHADEMA imeshindaaaaaaaaaaaaaa!Kuelekea 2015 magamba mtasema yote lakini Dr. Slaa mwendo mdundo!
Ni vizuri mkajiandaa kisaikolojia kuwa chama cha upinzani kwakuwa dalili zote zinaonyesha kwamba hamuwezi kunusurika na gharika ya wananchi tunapoelekea katika chaguzi za 2014 na 2015!
Nape kagonga mwamba kwenye nini?
Kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?
Katibu wa CHADEMA kaonyesha kishindo kwenye nini?
Mkuu acha tuhuma za zamani kuna meno pembe za ndovu zimekamatiwa Zanzibari kwenye makontena yakiwa disguised kama dagaa na vitu vingine!! Meli zilizoyapeleka pale hatujajua ni za nani inahisiwa ni za kigogo fulani, ila CCM kwa kizima mambo sijui kama hilo litawekwa wazi????Ndiyo hayo hayo, nisawa na kusema hujaiba ila kitu cha wizi kimekutwa kwako. Kisheria wewe ni mwizi tu unless utuambie sasa umekipatapataje. Kinana hajafanya hivyo hadi sasa, nilitegemea polisi ingemkamata Kinana na kumweka ndani ili aeleze huo mzigo wa meno aliupokea kutoka kwa nani, ila kwa vile polisi inajua mzigo huo ni wa mwenye kampuni, hadi leo hawajajigusa.
Mkuu betlehem mbona unamtetea sana huyu Msomali,hujui kuiwa jamaa hana uchungu kabisa na nyara zetu, waulize Masai wa Loliondo?????hivi ukiwa na basi,halafu akaingia abiria kabeba begi,kakupa umeliweka kwenye buti,baadae linagudulika lina meno ya tembo.anayefanya ujangili atakuwa ni mwenye basi?au twiga walivyopelekwa nje,wa kulaumiwa ni mwenye ndege?au mfano ukikamata madawa ya kulevya yaliyosafirisha na british airways kwa mfano;anaefanya biashara hiyo ni meneja wa shirika husika?
Mwongo wewe! Unasahau yule mwanamke mlikuwa mnamlipa aseme kuwa kazaa na Mrema na hatunzwi?mlidiriki hadi kumpa fedha avue nguo mbele ya nyumba ya Mrema ili aaibike? Upuuzi wenu huo wanawake wa TZ wameshaushtukia ndio maana hata mseme nini sasa juu ya Slaa na family yake wanawadharau na M4C inasonga mbele.Mbinu za kijinga hazitarudisha nyuma harakati za kuiondoa CCM iliyowafanya watu wafe kwa umasikini wa kutengenezaNi maneno yenye ukweli Mrema hakuwa na kashfa ndani ya jamii iliyomzunguka na kama zilikuwepo hazikujulikana; Slaa dhambi ya uwongo inamsuta; sijawahi kuona kiongozi asiye na maadili kama Slaa; hainingii akilini kuona mtu anayejinadi ni kiongozi wa jamii kutelekeza familia yake kwa ajili ya kimada na leo atumie majukwaa ya kisiasa kujinadi eti ni mtetezi wa wanyonge ikiwa alishindwa kuitetea familia yake hasa watoto dhidi ya tamaa zake za kimwili leo ataweza kuwatetea watanzania?
Chama
Gongo la mboto DSM