Ila huyo mama nae nafikiri kwenye 18 huwa patashika nguo chanika na ki..shati mkononi.Huyo mwanamke nafikiri alikuwa anamwambia Filikunjombe.........ukome...ukome....tena.....ukomae...na ukome kuwapigia magoti watoto teh teh teh....
![]()
ndio maana kasema HUENDA Wenje alikuwa sahihi neno huenda maana yake hata yeye hana hakikaTupe chanzo cha taarifa yako ili tuamini kwamba ni kweli,au kama ni tetesi kuwa muwazi.
acha kupotosha watu leo wenje hajabishana na spikamimi nazani mama yako ndo vuvuzela
Ziwa victoria, tanganyika, nyasa, natron; bwawa la mindu, mutera, ikimba pamoja na bahari ya Indi vyote ni vyanzo vya kuzalisha na kutoa samaki tulivyojaariwa kuwa navyo Tanzania;
Iweje tena tuletewe samaki kutoka Japan??? Huu Uzalilishaji.
Kwa hiyo we ni mpenzi wa kuangalia bunge kama sinema? MISUKULE AT WORK.mimi ni mpenzi wa miaka mingi wa kuangalia vipindi vya bunge lakini bunge la mwaka huu nimechoka nalo limetawaliwa sana siasa kwani inaonekana wabunge wengi wanaposimama kuchangia huwa wanachangia pumba na wengi huwa hawajui au sijui hawaelewi kanuni za bunge, nidhamu kwao kwa spika hakuna kabisa na hii imeishatokea kwa zitto kunyanyua kipaza sauti bila ruhusa spika leo tena wenje amefanya kitu cha aibu bungeni cha kubishana na spika, je? wanafanya hivi kwa kutokujua au ni makusudi, hii pia inaonekana kuwa kiongozi wa upinzani mh mbowe ana udhaifu, mbona bunge la 2005 hadi 2010 lilikuwa zuri na mh Hamad Rashid aliwaongoza vizuri wabunge wa upinzani na ikapelekea wanainchi kuwa na imani na upinzani na uchaguzi wa 2010 wakatuongeza wabunge wengine, lakini kwa mwendo tunaokwenda nao ndani ya ya bunge kelele nyingi, ubabe maneno yasiyo na staha na sidhani kama wanainchi wanafurahishwa na matendo ya wapinzani na hii itapelekea kutuadhibu katika uchaguzi ujao, chadema jirekebisheni!!!!
Tena amevaa kaunda suti ileile aliyovaa siku anapiga magoti! HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAA!
nimecheka sana hapa. Huyu mbunge ni mwenzetu humu JF na omba radhi asifikirie kuwa nia yangu ni mbaya ila ninawisha kuwa wangeiingiza kwenye Youtube hii:
kwanza jamaa wa upinzani wanaume walianza naye:
![]()
Lakini hiii ya wenye ndio inatia huruma zaidi...jamaa kaamua kukaa nje baada ya kuadhibiwa
![]()
bila shaka utakuwa dadapoa wanaoendaga dodoma wakati wa bunge la bajeti, lazima uwachukie wabunge wa chadema kwa sababu hawafanyi hiyo shughuli yako.mimi ni mpenzi wa miaka mingi wa kuangalia vipindi vya bunge lakini bunge la mwaka huu nimechoka nalo limetawaliwa sana siasa kwani inaonekana wabunge wengi wanaposimama kuchangia huwa wanachangia pumba na wengi huwa hawajui au sijui hawaelewi kanuni za bunge, nidhamu kwao kwa spika hakuna kabisa na hii imeishatokea kwa zitto kunyanyua kipaza sauti bila ruhusa spika leo tena wenje amefanya kitu cha aibu bungeni cha kubishana na spika, je? wanafanya hivi kwa kutokujua au ni makusudi, hii pia inaonekana kuwa kiongozi wa upinzani mh mbowe ana udhaifu, mbona bunge la 2005 hadi 2010 lilikuwa zuri na mh Hamad Rashid aliwaongoza vizuri wabunge wa upinzani na ikapelekea wanainchi kuwa na imani na upinzani na uchaguzi wa 2010 wakatuongeza wabunge wengine, lakini kwa mwendo tunaokwenda nao ndani ya ya bunge kelele nyingi, ubabe maneno yasiyo na staha na sidhani kama wanainchi wanafurahishwa na matendo ya wapinzani na hii itapelekea kutuadhibu katika uchaguzi ujao, chadema jirekebisheni!!!!