Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Tangu lini wabunge wa ccm na spika/wenyeviti wao wakajua umuhimu wa muda? Tumeona kila siku wakishukuru wake zao, majirani, na kututangazia nani anamtumia nani sms. Ni kama ccm wao wana 36 in a day na sio 24! Hivi inakuwaje uchaguliwe mwezi wa october 2010, lakini unatoa shukrani (kwa dakika 3) kwa waliokuchagua, mwezi July 2011!?

Mkuu hapo kwenye Red ni kweli tupu hawa jamaa sijui wakoje yani nina wasiwasi sana kama wako timamu na wala hawajahi kujua umuhimu wa muda au huwa hawana cha kuongea maana mtu anaanza kutoa shukurani mpaka kwa house girl na house boy kwa kumpikia na kumfulia vizuri duh...hiki chama cha hawa jamaa balaa tupu
 
Bungeni ni sehemu huru, lakini hakuna uhuru usiokuwa na wajibu. Hebu kabla hatujaongelea wabunge wa CDM, hivi unadhani bunge linavyoendeshwa wakuu wanatekeleza wajibu wao? Spika na wenyeviti wamekuwa ni sehemu ya serikali sasa wataisimamia vipi wakati na wao ni part ya Govnt? Nawapongeza wabunge wa CDM na baadhi ya wabunge wa CCM kwa kujipambanua kuisimamia serikali pale wanapoamua kutogeuzwa rubber stamp. Kwa kweli nafurahia sana yale yanayoendelea bungeni kwani CDM wanaonyesha uozo wa CCM na wao bila kujua wanauconfirm hadharani!!!!
Ungekuwa unafanya research ungeambiwa kuwa research question yako haina mashiko.Unauliza swali na jibu unalo.Au unaifanya jf kama kipima joto cha itv wanao sema asilmia kadhaa wamesema ndiyo au hapana au hawajui bila ya kuspecify idadi ya respondents?
 
Leo mimi nimejisikia vibaya kwa Wenje kutolewa na Wabunge wa Chadema kutoka nje na Kuzozana na Filikunjombe! Inatoa taswira mbaya kwa CDM Mbowe na baadhi ya wabunge watu wazima kama mzee ndesamburo wanatakiwa kuwambia vijana wajifunze kurudisha mnkali,otherwise magamba watapotosha wananchi kama CDM ni chama cha Violence! CC ya CDM iliangalie jambo hili la leo kwa umakini na busara itumike kuwapa ushauri wabunge vijana! Waige mfano wa Dr Slaa kujipanga kwa hoja zaidi na umakini mkubwa! Wasipanik siasa inataka kutulia zaidi kwa maamuzi!
 
Yeye ndio anasumbuliwa na utoto kiasi cha kuwapigia magoti watoto wenzie!
 
Leo mimi nimejisikia vibaya kwa Wenje kutolewa na Wabunge wa Chadema kutoka nje na Kuzozana na Filikunjombe! Inatoa taswira mbaya kwa CDM Mbowe na baadhi ya wabunge watu wazima kama mzee ndesamburo wanatakiwa kuwambia vijana wajifunze kurudisha mnkali,otherwise magamba watapotosha wananchi kama CDM ni chama cha Violence! CC ya CDM iliangalie jambo hili la leo kwa umakini na busara itumike kuwapa ushauri wabunge vijana! Waige mfano wa Dr Slaa kujipanga kwa hoja zaidi na umakini mkubwa! Wasipanik siasa inataka kutulia zaidi kwa maamuzi!
tuachane na unafiki na tuwe 0 or 1 sio nusu.
 
Inaonekana huyu mbunge wa dole aliyekuwa mwenyekiti wa bunge leo hana usikivu toka kwa wabunge hasa washindani.Ana jazba na anaonekana wazi alikuwa yuko kwa kutetea chama tawala.Haiwewzekani hata kidogo kutotaka kusikiliza hoja usiyoifahamu.Ona sasa hoja iliyokuwa ikiltaka kuletwa na Wenje ni "Nini tamko la serikali juu ya samaki wenye mionzi toka japan watazibitiwa kwa kuwa zaidi ya tani 1000 zimeshafika Morogoro" Nashauri wenyeviti wa namna hii hawafai hata kidogo.Wanaleta vitisho kutumia nguvu nyingi kwa kitu cha kawaida tu.Ovyo kabisa mwenyekiti wa leo na ninashauri asiteuliwe tena kusimamia mijadara ijayo kama mwenyekiti.Karume kenge kabisa!!!!!!!hafai.
 
Tembeleeni MICHUZI blog uone wabunge wa kike wa Chadema walivyomtunishia misuli, hadi kutazama chini kwa aibu. Kazi yake kuwapigia magoti chekechea Ludewa akafikiri yuko na watoto wa Mtembelele, aka kule Nyasa.
IMG_3819.JPG

​
 
Mkuu naomba tu kuuliza kama kuna mtu anafahamu: Hivi hawa Wenyeviti akina Mabumba, Mhagama, Simbachawene, n.k wapatikanaje? Mbona sijaona Mwenyekiti toka CHADEMA ama Upinzani au Wapinzani hawaruhusiwi kuwa Wenyeviti na wao siku moj wakaendesha bunge?
 
Tembeleeni MICHUZI blog uone wabunge wa kike wa Chadema walivyomtunishia misuli, hadi kutazama chini kwa aibu. Kazi yake kuwapigia magoti chekechea Ludewa akafikiri yuko na watoto wa Mtembelele, aka kule Nyasa.
IMG_3819.JPG

WAKUU UBUNGE NI NOMA, HAYA MAGOTI YATAPIGWA TENA BAADA YA MIAKA 5, TUTARAJIE MAGOTI 2015, HUYU MBUNGE NI 0 KABISA NA ATAKUWA ANATUMIA AKILI ZA KU DOWNLOAD, MIMI NINGEPENDA KAMA ANGEDUNDWA NA HAO WAMAA WA CHADEMA ALI IWE FUNDI KWA MAGAMBA
​
 
Mhe Wenje alitaka kutoa taarifa kuhusu Samaki waliongia nchini kutoka Japan wanaohofiwa kuwa na mionzi ya nyuklia lakini hakupewa nafasi na ndipo huyo mwenyekiti akaamuru Sgt @arm amtoe nje wabunge wengine (si wote) wa upinzani nao wakatoka
 
Nadhani Magamba wenzake wamemshauri kuwa alichemka. Taratibu Magamba wataelimika kwenye mambo ya msingi na kuacha kukurupuka.
 
Tembeleeni MICHUZI blog uone wabunge wa kike wa Chadema walivyomtunishia misuli, hadi kutazama chini kwa aibu. Kazi yake kuwapigia magoti chekechea Ludewa akafikiri yuko na watoto wa Mtembelele, aka kule Nyasa.
IMG_3819.JPG

​
Nadhani anawalakini kichwani, kazeni uzi wabunge wa CDM Tanzania kamwe haiwezi kukombolewa na wabunge wakupiga magoti hivi! kama kwa watoto hawa anapiga magoti hayo je kwa mwekiti wake wa Taifa, Je kwa Raisi, je kwa spika nadhani atazimia kabla ya kutoa kauli
 
hahaha,dah nimecheki zile picha natamani ningesikia na maneno,jamaa atalala hoi leo
 
Hili Jimbo lipo kule jamaa wasikotaka Muungano aslani"Zenji",Kazi yake ni kutiwa vidole tu,ndio maana alimtoa Wenje ili akamtie vidole,we siumemuona alivyozubaaa,anawaza halua tu mjengoni........Wabunge Viti maaluma CCM leo walikuwa wanatimiza wajibu wao,kuzomea,na kupiga meza tehe tehe.....
 
Back
Top Bottom