Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

haya wabunge poleni na yenu sisi huku shida umeme .nchi imezeeka:A S 103:
 
Mkuu hapo kwenye Red ni kweli tupu hawa jamaa sijui wakoje yani nina wasiwasi sana kama wako timamu na wala hawajahi kujua umuhimu wa muda au huwa hawana cha kuongea maana mtu anaanza kutoa shukurani mpaka kwa house girl na house boy kwa kumpikia na kumfulia vizuri duh...hiki chama cha hawa jamaa balaa tupu

Eti mbunge anawashukuru ata watu ambao wakati wote yupo nao bungeni! Kuna mawaziri wanashukuru mpaka wake na madereva zao na wakati muda wote wapo nao hapo bungeni! Huwa nakerwa sana..
 
Mkuu naomba tu kuuliza kama kuna mtu anafahamu: Hivi hawa Wenyeviti akina Mabumba, Mhagama, Simbachawene, n.k wapatikanaje? Mbona sijaona Mwenyekiti toka CHADEMA ama Upinzani au Wapinzani hawaruhusiwi kuwa Wenyeviti na wao siku moj wakaendesha bunge?

Nadhani waligombea na kupigiwa kura.
 
Leo mimi nimejisikia vibaya kwa Wenje kutolewa na Wabunge wa Chadema kutoka nje na Kuzozana na Filikunjombe! Inatoa taswira mbaya kwa CDM Mbowe na baadhi ya wabunge watu wazima kama mzee ndesamburo wanatakiwa kuwambia vijana wajifunze kurudisha mnkali,otherwise magamba watapotosha wananchi kama CDM ni chama cha Violence! CC ya CDM iliangalie jambo hili la leo kwa umakini na busara itumike kuwapa ushauri wabunge vijana! Waige mfano wa Dr Slaa kujipanga kwa hoja zaidi na umakini mkubwa! Wasipanik siasa inataka kutulia zaidi kwa maamuzi!

Watanzania tunataka vyama vya violence maana bila hivyo CCM haisikii, waporaji toka lini wakasikia lugha ya ustaarabu? Kwanza CDM hawajawa na Violence ya kutosha. Nawalaumu kwa nini hadi sasa hawajatuongoza WATANZANIA kuingia mitaani kudai umeme. Wasipofanya hivyo tutaandamana wananchi wenyewa ila wajue watakuwa wameshindwa kuongoza walipotakiwa kufanya hivyo. CCM imeshindwa kuprovide leadership ndio maana tupo hapa, CDM isishindwe ituongoze kuanza kwa kudai umeme
 
Hivi spika/mwenyekiti wa bunge kuamuru MHESHIMIWA WENJE atolewe nje bungen jana na hali alikuwa akiihoji serikal kuhusiana na samaki wenye mionzi ya nyukilia kuingizwa nchin na wabunge wengine ambao vichwa vyao havifanyi kaz wakashangilia kitendo hicho,JE spika/m/kiti na hao wabunge walioshangilia kitendo hicho wanapenda watanzania tuendelee kuishi au tufe ili wabaki wao?
 
Waache wacheke...ni utoto wakikua wataacha......na hao wanaocheka siku zao zinahesabika.
 
Hao wabunge iko siku historia ya nchi hii itawahukumu,
Cha ajabu sisi ambao ndio tunaowachagua (wapiga kura) bado tutawapitisha tena mwaka 2015,
shame on us!!
 
Kwa kweli watanzania wenzetu wanahitaji elimu ya hali ya juu kuhusiana na hao watu wanaowachagu la sivyo wategemee kupokea umaskini zaidi
 
Mbunge wa dole aliyekuwa mwenyekiti wa kuendesha kikao cha jana bungeni jana hafai kabisa.Ameonyesha kutokukomaa kisiasa na amewekwa pale kwa maslahi ya CCM na si vinginevyo.Nashauri mwenyekiti huyo asipangwe tena kuendesha vikao vya bunge.Hovyo kabisa hana maana!!!!!! Huwezi kugomea hoja ambayo bado hujaisikiliza! limbukeni wa kutupa!!!!!!!!
 
Suala kuu hapa ni kwamba bunge la sasa si kwa masalhi ya kuokoa umma wa watanzania bali lipo pale kwa kuokoa kuanguka kwa chama cha magamba na maslahi ya wezi wa raslimali za nchi hii na watu wake.
'Ushabiki' unaoona pale bungeni ni kwa kuwafurahisha mabwana wakubwa walioko madarakani, kwa mfumo wa kulipa fadhila.
Kazi ni kwetu wapiga kula kufanya uchambuzi yakinifu, iwapo tule chama, tuvae chama, tumulikie chama, tusomeshe watoto kwa chama, na kuoa na kuolewa na chama.
 
Hivi spika/mwenyekiti wa bunge kuamuru MHESHIMIWA WENJE atolewe nje bungen jana na hali alikuwa akiihoji serikal kuhusiana na samaki wenye mionzi ya nyukilia kuingizwa nchin na wabunge wengine ambao vichwa vyao havifanyi kaz wakashangilia kitendo hicho,JE spika/m/kiti na hao wabunge walioshangilia kitendo hicho wanapenda watanzania tuendelee kuishi au tufe ili wabaki wao?


Amini nawaambia huo udikiteta bungeni hadi sasa mtu kuuliza swali unaambiwa uliza swali sio maelezo lakini mjibu maswali nae hutoa maelezo kabla ya kujibu sijui hapo equality iko wapi. me nawambia ikatokea tita uchaguzi urudiwe mwakani wabunge wa CCM watakao rudi ni wakuhesabu kabisa. Mbona kipindi hiki Speaker wa Bunge hakai hapo kila mara ana udhuru ni anajifunza kazi za uspeaker au anajifunza sheria na kanuni za kuwa speaker? kila mara kuna mwenyekiti mara katibu mara naibu speaker then ukija ona wote wana misimamo tofauti kabisa katika maamuzi yao pale waketipo kwa hicho kiti cha speaker.

Mwazani ngumi huwa zaanzia wapi hapo tu pindi speaker au anaekaimu hicho kiti kushindwa ku control bunge na ndipo chafuko hutokea kwani huonyesha either anaegemea upande wa kwanza kuliko ule wa pili kwa hali hiyo lazima tu watu wazi twange na majibizano mengi ya ajabu yatatokea ili kimsingi zaidi source ya yote ni uongozi mbovu na dhaifu ndio huleta machafuko
 
<font color="#0000ff">mkuu nimesoma kwenye thread nyingine muda kidogo je ni issue hii hii iliyomtoa Wenje nje ya bunge kwa amri ya mwenyekiti ???</font>
<br /> <br / kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV wenje aliomba kutoa taarifa ya dharura kwa maslai ya taifa naibu spika akakataa akaomba tn kwa kusisitiza ni swala la dharura naibu spika akaamrisha askar wa bunge wamtoe nje, WENJE ALIPOHOJIWA ALISEMA ALITAKA KUTOA TAARIFA KUWA KUNA TANI ZA SAMAKI WENYE MIONZI YA NUCLEAR (SUMU) WAMEINGIZWA TZ NA WAMEFIKA MOROGORO
 
Suala kuu hapa ni kwamba bunge la sasa si kwa masalhi ya kuokoa umma wa watanzania bali lipo pale kwa kuokoa kuanguka kwa chama cha magamba na maslahi ya wezi wa raslimali za nchi hii na watu wake.
'Ushabiki' unaoona pale bungeni ni kwa kuwafurahisha mabwana wakubwa walioko madarakani, kwa mfumo wa kulipa fadhila.
Kazi ni kwetu wapiga kula kufanya uchambuzi yakinifu, iwapo tule chama, tuvae chama, tumulikie chama, tusomeshe watoto kwa chama, na kuoa na kuolewa na chama.

Yego kamla kumbe nawe umenya mambo gooona ghoo,

Kiundani zaidi ni Vita ya uchaguzi 2015 baada ya wananchi kujua kuwa kuna mapungufu makubwa serikali ya Kikwete sasa wamenza mapema kujionyesha ni akina nani wanaweza kuongoza nchi hiii kwahiyo badala ya kuhudumia walala hoi sisi wananchi wao ni kuwatukuza wakubwa wao walio wasaidia kuingia bungeni na kuwaweka hap kwenye hizo nyadhifa walizo nazo.

My Take:
Udhaifu wa viongozi ulio wekwa pale kwenye ile cabinet nzima ya Speaker ni uozo mtupu upo kwa ajili ya maslahi ya wakubwa zao ni Utumwa huu kwelio ndani ya Nchi yako Haki yako unaiuza kwa mtu ambaye nae atakufaaa tuuu.

 
wanao ingia forum ya jamii ni watu makin ivyo mwanzo alisema naibu waziri na pia tundu lisu alipo kuwa akiweka vifupisho vya tl na nw tulimuelewa vzr kwan we ujawai kuona gari ya naibu waziri inaandikwaje mbona ujawai kuuliza serikali manake nini gari ya naibu waziri kuandikwa nb kwenye plait number
<br />
<br />

Okeeee Gari la Tundu Lissu ndio limeandikwa TL Etiiiiiieeeee!!!
 
nadhani kuna umuhimu spika,naibu spika,na hao wanaojiita wenyekiti wa bunge wasitoke ktk chama chochote ili kuwe na usawa,maana wapo bias sana......
 
Hapa kuna kitu muhimu sana kinakosekana katika hoja hii, hatuwezi kusema kama Zito alikuwa sahihi kipindi kile then Wenje atakuwa sahihi kwa ishu ya leo. Kwanza hoja ilikuwa ya Tundu Lissu na katika mazingira ya kawaida yeye ndiyo angetarajiwa kuisimamia au machali ambaye naye alienda na hili suala kihoja zaidi na ndio maana majibu yalipotolewa Lissu na Machale walinyamazi. Kilichomwondoa Wenje bungeni ni utovu wa nidhamu wala siyo hoja maana hoja haikuwa yake. Vinginevyo kama unataka kulazimisha kuwa Lissu asingeweza kutetea hoja yake hadi asaidiwe na Wenje. Kilichomtoa wenje ni kuendelea kupiga makelele wakati hajapewa fursa ya kuchangia

wenje hajatolewa kwa kumtetea lisu yeye alikuwa na hoja ya samak
 
Back
Top Bottom