mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Alimwomba Mwenyekiti ili atoe taarifa kwa masilahi ya taifa, akaambiwa atoke nje kwa kuchukuliwa na Surgent of Arm wa Bunge. Wabunge wengine hupewa nafasi ya kutoa taarifa lakini yeye amenyimwa nafasi hiyo.
Kumnyima nafasi ni suala moja lakini kumtoa nje lazima pawe sababu za msingi kama vile kutokutii maelezo ya mwenyekiti na hivyo kuvuruga kikao.