Kiti kung'ang'aniwa 2030

Kiti kung'ang'aniwa 2030

Waislamu hawana shida na madaraka,

Hawajioni Mungu mtu,

Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,

Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,

Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
Wewe kinyeo kweli kweli katika historia yako hapa tanzania ni rais gani kaingia madarakani kwa kuia maelfu ya wananchi zaid ya muislam wenu
 
Waislamu hawana shida na madaraka,

Hawajioni Mungu mtu,

Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,

Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,

Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
mbonaliyepo ni wa hiyo dini na anajiona mungu mtu...punguza unafiki
 
Sh 10 mbona bei ghali sana sisi wa shilingi wkt ina thamani mkuu unapewa sh 5 kwa siku tano maza kaenda IDM hapo
10 apo ilikua unapata ngubiti 2,Mimi nilikua napewa 50 ad 100 kwenda nayo shule aloo nilikua na ma bodi guard shule hunigusi 😂😂
 
Apo una kuta sh 10 inashiling Moja Moja 10 ndani yake wooooi,ukipewa sh 20 tulikua tunaita paluu oya kiboss kabisa shuleni unakula na chenchi zinalud kama zote
 
10 apo ilikua unapata ngubiti 2,Mimi nilikua napewa 50 ad 100 kwenda nayo shule aloo nilikua na ma bodi guard shule hunigusi 😂😂
Sisi shilingi tano kwa wiki nzima kwa siku sh 1, na unakula gubiti na miwa fresh kbs teeena kibosi.
 
Back
Top Bottom