Kiti kung'ang'aniwa 2030

Kiti kung'ang'aniwa 2030

Magufuli aliwahi kutengeneza wajinga fulani akina Juma Nkamia wakaanza kujipendekeza kupeleka hoja hizo bungeni.... Na kwa taarifa bunge lilikuwa linaenda kubariki upuuzi huo.... Lakini kumbe Mungu akaingilia kati..... sasa kuna wajinga wameshaanza kufanya mambo haya kwa Mama Samia... Huyu mama tunampenda amalize muda wake msije kumletea majanga kwa tamaa zenu... Juzi kuna zuzu moja bungeni limeanza kulete takataka hizi.... Za akina Nkamia na Ndugai... Eti Atake asitake.. Tutamuongeza muda. ...wote wako kuzimu leo. God is Great
 
Acha uongo
Mzee wa Msoga ndiye alikuwa anasambaza hizo taarifa na kikundi chake ili kumuharibia JPM..
JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye kinara wa kutengeneza akina Kangi Lugola na Kabudi wakaanza Kumuabudu kama Mungu wao, matukio ya watu kutekwa kwa kasi yalianzia kwenye utawala wake, umesahau matukio ya Kibiti, je ile video ya Magaidi wa Msumbiji na eneo la Kitahiya hukuiona? Hayo yote Watanzania leo mmeyasahau? Naamini Magufuli angekuwepo angefuata nyazo za Kagame japo walikuwa wameshakuwa maadui
 
Samia anatakiwa kuitolea kauli hoja hii ili watu waelewe msimamo wake ni upi.

Si kutuacha tunajadili kauli za wapambe ambazo zinaweza kuwa zao tu, au zina baraka zake Samia, tunajadili habari tukiwa gizani bila kujua kipi ni kipi.

Na iwapo hataitolea kauli hoja hii, tafsiri ya watu wanaotumia akili itakuwa kwamba, hoja hii imetolewa, au angalau imebarikiwa, na Samia mwenyewe.

Na tafsiri hii itakuwa ya sawa.

Hususan kwa sababu huyu moambe si mpambe wa kawaida tu, huyu mpambe ameshawahi kutoa kauli ambazo zilikuja kutimilika kwa vitendo vya serikaki ya Samia.
Hawezi kufanya hivyo maana siku zote ndio style yake ndio hio kutanguliza machawa wamuongelee alafu yeye anakuja kumalizia tu, ndiomaana hakanushi
 
Kupotea kwa POLEPOLE kunaniumiza kwani yeye ni binadamu kama mimi anayo haki ya kuishi kwa uhuru kama wengine, lakini kwa upande mwingine wa shilingi naamini linapaswa kuwa somo... Kipindi cha Magufuli POLEPOLE alikuwa kama Maliyamungu wa Uganda kipindi cha Idd Amin, yaani nikikumbuka nasema Mungu anaishi kwelikweli. Akina Mnyeti, akina Sabai, akina Makonda, na wengine wengi... Chalamila eti baada ya kupokea taarifa za Msiba wa Magufuli...anamwambia mke wake eti hebu nishike hapa kifuani au mimi ndiye nimekufa...., kile ki Sipiriani Musiba, Mzee mmoja alisema Mungu amshukuru Magufuli, walijitia uzalendo uliopindukia, uzalendo uliolenga tu kumfurahisha mtu mmoja na si
kulifurahisha taifa au kuliinua taifa. Ningekuwa Mh Samia hawa wote sasa hivi wangekuwa tu nimewatia korokoroni. Vijana tujifunze vyeo si kwa ajili ya kutenda watu vibaya maana haya maisha ni ya muda tu bali tenda haki bila kujali alafu endelea na mambo yako.
 
Waislamu hawana shida na madaraka,

Hawajioni Mungu mtu,

Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,

Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,

Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
šŸ˜† Ya leo kali
 
Huyu mama kabakiza miezi 45+ muda wake utamatike...Lakini anavyowashughulikia watu ni as if ana agenda ya kurefusha presidency yake.

Raisi aliyekatika dakika za jion hana sababu za ku-behave hivi.
Kila siku ni kupangua safu, na kupanga safu mpya.
Bado ni mraibu wa kusifiwa hadi leo.
Usiposikika ukimsifia public huonwi.
Mtoa mada hajaongea jambo la ajabu au geni Africa hii.
 
Waislamu hawana shida na madaraka,

Hawajioni Mungu mtu,

Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,

Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,

Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
Udini
 
Haiwezi tokea hiyo. Wenzie walikaa pembeni.
Unaamua kabisa kujizima data unasahau kama humuhumu ndani kuna watu walisema watanzania hawawezi kuandamana wakaandamana Tanzania ya leo kila kitu kinawezekana na wana CCM watakubali na maisha ya kama Uganda yataendelea
 
Back
Top Bottom