Kiti cha kikwete na miujiza

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini watu wa protokali pale IKULU wazunguka na Kiti cha raisi wetu mpendwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Je kinamiujiza gani ya kiulinzi,jee anamatatizo gani ambapo hawezi kukalia viti vingine,je ni kuendeleza utukufu kwamba kwa vile yeye ni Raisi lazima akalie kiti tofauti na wengine,au ni ushauri wa Mlinzi wake mkuu sheikh Yahaya ,au ni woga tu jamani watu wa protokali IKULU mulioko humu hebu tafadhali nijuzeni.

Halafu nyie watu wa Protokali kwa nini munawadharilisha wafanyakazi wa Mawizara eti Kusimama pembeni saa za kazi kupeperusha bendera kumpokea Raisi hammuoni Raisi anapingana na kile alichoeleza kwenye hotuba yake ya tarehe 28 kwamba wanasiasa waache wananchi wafanye kazi,kwa namna nyingine munapowapanga wafanayakazi wa serikali ili kumpokea Raisi ,hamuoni kwamba munawapotezea muda ukiwaangalia hatu sura zao wanaonyesha hawapendi munavyofanya
 
siwezi kisemea hicho kiti ila Rais analindwa vilivyo na majini ya babu wa mwembechai shehe Yahya.
ikulu kulindwa na majini hii imekaaje wanaJF?
 
siwezi kisemea hicho kiti ila Rais analindwa vilivyo na majini ya babu wa mwembechai shehe Yahya.
ikulu kulindwa na majini hii imekaaje wanaJF?

hatari kuliko tunavyoichukulia.
hii ndio chanzo cha serikali kufanya vitu ambavyo hata mtu asiekua na elim yoyote atavi doubt.
serikali gani ambayo kipaumbele chake ni kuwatetea mafisadi na kulinda maslahi yao kwa kuwaangamiza wapiganaji dhidi ya hao mafisadi???
 
sijui kina nini kile kile kiiti hebu ntamuuliza bwana mmoja hivi then ntarudi na jibu hapa jamvini
 
sijui ukweli wa habari hii!!!???? Lakini kama ni kweli kiti anachokalia jk kinazunguka nchi nzima kila aendako, itakuwa hatuna rais wa nchi anayejiamini; bali tuna mtu muamini ushirikina kuwa ndo dira yake ya kuongoza nchi!!! No wonder -"hata sababu ya kwa nini watanzania ni masikini hawezi kuwa nayo-maana anaongozwa na miujiza/jini limuelezalo cha kufanya na ua kujibu"!!!
 
Utakuwa ushirikina tu! Ila tujiulize, anakwenda nacho marekani? Au ni tanzania tu? Basi ushirikina huo ni mfupi kama kaptura. Washauri wake waache kumpotosha!!!!
 
Ushirikina wa Shehe Yahaya sio wasitahiri hizi, Confirmed information ni kwamba, Shehe Yahaya amechoka sana kutokana na umri (labda na maradhi ya uzee pia) hivyo JK, Familia yake na Ikulu wameanza kumpotezea kiaina kwa sasa Jakaya anatumia Waganga wa Kinigeria, na wamejazana pale Ikuru.

Tanzania sasa hainatofauti na Haiti
 
13456539_11n.jpg

Mbona kiti cha JK poa tu!
 
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini watu wa protokali pale IKULU wazunguka na Kiti cha raisi wetu mpendwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Je kinamiujiza gani ya kiulinzi,jee anamatatizo gani ambapo hawezi kukalia viti vingine,je ni kuendeleza utukufu kwamba kwa vile yeye ni Raisi lazima akalie kiti tofauti na wengine,au ni ushauri wa Mlinzi wake mkuu sheikh Yahaya ,au ni woga tu jamani watu wa protokali IKULU mulioko humu hebu tafadhali nijuzeni.

Halafu nyie watu wa Protokali kwa nini munawadharilisha wafanyakazi wa Mawizara eti Kusimama pembeni saa za kazi kupeperusha bendera kumpokea Raisi hammuoni Raisi anapingana na kile alichoeleza kwenye hotuba yake ya tarehe 28 kwamba wanasiasa waache wananchi wafanye kazi,kwa namna nyingine munapowapanga wafanayakazi wa serikali ili kumpokea Raisi ,hamuoni kwamba munawapotezea muda ukiwaangalia hatu sura zao wanaonyesha hawapendi munavyofanya

Watazania kweli wamepotea. Hivi kwanini mnaamini uchawi namna hii?

ndiyo maana mnaenda kwa Babu!

kila siku nitakuwa nachapa Injili hapa jamvini.
 
watu wanaanzisha thread bila kufanya assumption. that's why thread kama hii ni rahisi tu kuipa hadhi ya crap.
Kiti kiti cha Jakaya alipokuwa Wizara ya Fedha Kiti kimeonekana jana Wizara ya Elimu kiti kimeonekana kama wewe ni mwanaprotokali IKULU ebu nijuze kwa nini Kiti kinazunguka
 
kile c kina mtekenya akikaria ndio make abadirish, babu yang mkolon ila hayupo hvyo wageni wakija wakikaa kabla yake anawaaccha tofaut na cha bebeface
 
Ni kweli akiwepo Ikulu anacho, Wizara ya fedha alikuwa nacho na Wizara ya Elimu anacho duu!
labda anavyo vya dizaini ile vingi kila wizara.
alafu kiti chenyewe kama local made hivi sijui tusema mkwere mzalendo sana, au kimetengenezwa na babu na kaweka na ujuzi wake.
 
Back
Top Bottom